Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
lol!! zile bombadier zao uchwara? Geza na wenzake bila shaka watapita hapa kimya kimya....niliwaambia ukiona cha mwenzio chanyolewa, tia chako maji...
Loh, kweli mkuu!! Mkuu hivi Dreamliner yenu ipo wapi siku hizi - mliinunua au mli wet lease kutoka sehemu.