Duh! Nini cha Wakenya kujifunza kuhusu hili la Wabongo kunyang'anywa ndege kwa ajili ya deni

Kwaiyo wewe unayelaumu serikali kununua ndege on cash basis hizo interest rates za mkopo na ROI ulikuwa unazijua au unakisia tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujajibu ulichoulizwa unauliza kingine?

Nilifikiri utanijibu kwa namba, interest rate hii hapa, mkopo nimechukua hapa, tarehe hii, ushahidi huu hapa, uniulize kuna investment gani inayotoa ROI kubwa kuliko interest rate hiyo.

Unajua kwamba duniani kungekuwa hakuna investment inayotoa ROI kubwa kuliko interest rates za mikopo watu wasingekopa hela kwenda ku invest?

Ushawahi kufikiria hilo?

Unafahamu kwamba maswali unayouliza na kurukaruka kujibu maswali unayoulizwa wewe yanakuonyesha kama mtu asiyeweza kufikiri kwa kufuata mantiki?

Kwamba unakuwa ni kama mtu asiyejua kuogelea halafu katupwa katikati ya bahari anatapatapa. Unaelewa hilo?

Sent from my Kimulimuli
 
Ndege imekamatwa kwa deni la kampuni ya kandarasi iliyofukuzwa nchini kwa kutomaliza kazi kwa wakati.. Umeisoma hiyo habari kweli?

Aisee ni wapi huko ambako interests za loan ziko chini ya investment interests? Last time I checked government bonds zina value 7%-15%.. Unafanya investment gani ndugu yetu au unawakopesha wauza unga?

Sent using Jamii Forums mobile app

BOT inakopesha benk zetu kwa riba ndogo, benk wanakopesha kwa riba kubwa.
Km unataka biashara ambayo interest rate ya loan ni ndogo kuliko inveatment rate basi ni hiyo biashara.

Hizi microfinance km finca nao hukopesha kwa riba kubwa, na wao hukopa kwenye hizi benk kwa riba ndogo.

Bado unataka nikupe mifano zaidi?

Sent From Ikulu-Magogoni street
 
Hujajibu ulichoulizwa unauliza kingine?

Nilifikiri utanijibu kwa namba, interest rate hii hapa, mkopo nimechukua hapa, tarehe hii, ushahidi huu hapa, uniulize kuna investment gani inayotoa ROI kubwa kuliko interest rate hiyo.

Unajua kwamba duniani kungekuwa hakuna investment inayotoa ROI kubwa kuliko interest rates za mikopo watu wasingekopa hela kwenda ku invest?

Ushawahi kufikiria hilo?

Unafahamu kwamba maswali unayouliza na kurukaruka kujibu maswali unayoulizwa wewe yanakuonyesha kama mtu asiyeweza kufikiri kwa kufuata mantiki?

Kwamba unakuwa ni kama mtu asiyejua kuogelea halafu katupwa katikati ya bahari anatapatapa. Unaelewa hilo?

Sent from my Kimulimuli
Ubishi ni jadi, utakuwa muha wewe..

Unakopa unaenda kuinvest wapi, hilo ndio msingi wa swali, wakati huo huo ujue ulishasema serikali isifanye biashara. I'm not talking abt personal/business loans.. Shauri serikali ulitaka hizo billions waziweke wapi ziweze kuzaa pesa itakayofidia deni na riba ya kununua ndege kwa mkopo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujajibu ulichoulizwa unauliza kingine?

Nilifikiri utanijibu kwa namba, interest rate hii hapa, mkopo nimechukua hapa, tarehe hii, ushahidi huu hapa, uniulize kuna investment gani inayotoa ROI kubwa kuliko interest rate hiyo.

Unajua kwamba duniani kungekuwa hakuna investment inayotoa ROI kubwa kuliko interest rates za mikopo watu wasingekopa hela kwenda ku invest?

Ushawahi kufikiria hilo?

Unafahamu kwamba maswali unayouliza na kurukaruka kujibu maswali unayoulizwa wewe yanakuonyesha kama mtu asiyeweza kufikiri kwa kufuata mantiki?

Kwamba unakuwa ni kama mtu asiyejua kuogelea halafu katupwa katikati ya bahari anatapatapa. Unaelewa hilo?

Sent from my Kimulimuli
We wacha tuambiane ukweli. Hakuna mahali hii dunia ambapo interest rate ya loan ni kidogo kuliko return on investment (ROI) ya investment except in rare cases. And the reason is simple.
Interest rate ya loan ikiwa kidogo kuliko ROI then watu wengi wangekimbia kwenye benki kuomba loan at low interest rate kisha wainvest kwa investment itakayowapa a high ROI. Kisha walipe benki loan yao na interest ya loan na bado watabaki na profit. Watu wengi wangefungua kampuni ya kufanya hio biashara. ROI ni income na interest rate ya loan ni expense. When income is greater than expense you get profit. Hakuna mahali utapata interest rate ya loan ni kidogo kuliko ROI kwenye nchi moja unless uombe loan nchi moja na kuinvest kwenye nchi tofauti yenye return on investment (ROI) ya kiwango ya juu. For example uombe loan Britain at a low price ya 5% na uinvest Kenya kwa bonds at 10% per annum. utapata profit ya 5% (10%-5%). Hivyo ndio bank zingine za Kenya zinafanya.
Fisadikuu ameongea ukweli.
 
BOT inakopesha benk zetu kwa riba ndogo, benk wanakopesha kwa riba kubwa.
Km unataka biashara ambayo interest rate ya loan ni ndogo kuliko inveatment rate basi ni hiyo biashara.

Hizi microfinance km finca nao hukopesha kwa riba kubwa, na wao hukopa kwenye hizi benk kwa riba ndogo.

Bado unataka nikupe mifano zaidi?

Sent From Ikulu-Magogoni street
Mkuu hilo nalijua sana.. Na hata huyo ninayejibishana nae amekuwa mjanja kuukimbia huo mtego..

Angenasa hapo, ningemuuliza swali dogo tu, unaijua Interest rate ya bombardier kama tengenunua kwa instalment. Hapo hasingekuwa na jibu zaidi ya kuingia mitini..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujajibu ulichoulizwa unauliza kingine?

Nilifikiri utanijibu kwa namba, interest rate hii hapa, mkopo nimechukua hapa, tarehe hii, ushahidi huu hapa, uniulize kuna investment gani inayotoa ROI kubwa kuliko interest rate hiyo.

Unajua kwamba duniani kungekuwa hakuna investment inayotoa ROI kubwa kuliko interest rates za mikopo watu wasingekopa hela kwenda ku invest?

Ushawahi kufikiria hilo?

Unafahamu kwamba maswali unayouliza na kurukaruka kujibu maswali unayoulizwa wewe yanakuonyesha kama mtu asiyeweza kufikiri kwa kufuata mantiki?

Kwamba unakuwa ni kama mtu asiyejua kuogelea halafu katupwa katikati ya bahari anatapatapa. Unaelewa hilo?

Sent from my Kimulimuli
We wacha tuambiane ukweli. Hakuna mahali hii dunia ambapo interest rate ya loan ni kidogo kuliko return on investment (ROI) ya investment except in rare cases. And the reason is simple.
Interest rate ya loan ikiwa kidogo kuliko ROI then watu wengi wangekimbia kwenye benki kuomba loan at low interest rate kisha wainvest kwa investment itakayowapa a high ROI. Kisha walipe benki loan yao na interest ya loan na bado watabaki na profit. Watu wengi wangefungua kampuni ya kufanya hio biashara. ROI ni income na interest rate ya loan ni expense. When income is greater than expense you get profit. Hakuna mahali utapata interest rate ya loan ni kidogo kuliko ROI kwenye nchi moja unless uombe loan nchi moja na kuinvest kwenye nchi tofauti yenye return on investment (ROI) ya kiwango ya juu. For example uombe loan Britain at a low price ya 5% na uinvest Kenya kwa bonds at 10% per annum. utapata profit ya 5% (10%-5%). Hivyo ndio bank zingine za Kenya zinafanya.
Fisadikuu ameongea ukweli.
 
Hujajibu ulichoulizwa unauliza kingine?

Nilifikiri utanijibu kwa namba, interest rate hii hapa, mkopo nimechukua hapa, tarehe hii, ushahidi huu hapa, uniulize kuna investment gani inayotoa ROI kubwa kuliko interest rate hiyo.

Unajua kwamba duniani kungekuwa hakuna investment inayotoa ROI kubwa kuliko interest rates za mikopo watu wasingekopa hela kwenda ku invest?

Ushawahi kufikiria hilo?

Unafahamu kwamba maswali unayouliza na kurukaruka kujibu maswali unayoulizwa wewe yanakuonyesha kama mtu asiyeweza kufikiri kwa kufuata mantiki?

Kwamba unakuwa ni kama mtu asiyejua kuogelea halafu katupwa katikati ya bahari anatapatapa. Unaelewa hilo?

Sent from my Kimulimuli
Kenya interest rate ya loan ni 14% p.a. Kuna kampuni (investment) chache tu ambazo zinaweza kukupatia ROI ya above 14% p.a. Ndio maana kampuni nyingi hazipendi kuomba loan kwa sababu unless wako na a high growing business, they can go bankrupt. Ata wewe jaribu kuomba loan at 14% na uinvest kwa biashara inakuletea mapato ya 10% p.a uniambie kama hautakuwa bankrupt.
 
lol!! zile bombadier zao uchwara? Geza na wenzake bila shaka watapita hapa kimya kimya....niliwaambia ukiona cha mwenzio chanyolewa, tia chako maji...
I'm Tanzanian...yet I'm agree with you

Ndege zetu ni za kiboya sana, zina muundo kama magome ya ubuyu

Huo ndio ukweli.
 
Zinaendana kama kawaida na, wataisoma namba! Afu hawa jamaa wana roho mbaya sana! Hehe watz bana. Badilikeni.😀
Mengine yakiyosemwa na wenzio yana ukweli.

Ila kuhusu roho mbaya ni uongo.

Hakuna Mtz mwenye roho mbaya kama WAKENYA.

Wakenya wanafahamika kwa roho ya ukatili.

Kenya interest rate ya loan ni 14% p.a. Kuna kampuni (investment) chache tu ambazo zinaweza kukupatia ROI ya above 14% p.a. Ndio maana kampuni nyingi hazipendi kuomba loan kwa sababu unless wako na a high growing business, they can go bankrupt. Ata wewe jaribu kuomba loan at 14% na uinvest kwa biashara inakuletea mapato ya 10% p.a uniambie kama hautakuwa bankrupt.
Hivyo unavyosema ni sawa kwa most cases.Kuna mshkaji juzi kapata US $15,000 kumaliza mambo yake at around 14%. Na investment nyingi standard ni kweli zinatoa ROI ya around 10%.

Lakini hilo halina maana hakuna investment inayotoa above 14%.Kinachotokea tu ni kwamba the more a business gives ROI, the more risk it entails.Mimi nimezungusha $700 mpaka nikaifikisha just under $4,000 in a week kwenye options trading hivi karibuni tu. Kuna siku nimeondoka na faida ya $5,200. Siku moja. Mchana nimepiga $2,200 kabla ya lunch, jioni nikapiga $3,000 nilivyorudi nyumbani kabla ya dinner, na hapo nilianza na kama $2,000. Nikawa greedy nikazipandisha zikafika mpaka $23,000 nikaona nichukue a low risk Dow Jones position, Trump akabwatuka, Dow Jones Futures zikawa zinashuka mpaka nikapoteza $23,000. Lakini nazirudisha in a week or two.

Kwa hiyo usiseme hakuna ROI ya zaidi ya 14%, labda kama unaangalia low risk traditional investments za kujenga biashara ya brick and mortar. Lakini kama unacheza na akili yako online Futures trading unaweza kusema uanze na $1000 halafu uchukue low risk positions za 10% returns, hizi zime mature almost always zitakupa hela, so unaanza na $1,000, unachotakiwa kufanya ni ku time 20 minutes to time, ukikuta contract iko $90 that means 90% probabilty of maturing into $100 and making you money. So what you do is you buy those, 10 of them, at $900. After 20 minutes your $900 turns into $1000 and because you had $1,000 originally you end up with $1,1000 (well, minus $20 commissions so really $1080.

That's almost 10% return on the hour every hour Sunday 6 PM to Friday 4:15 PM EST.

If you want to make this a full time job you can start with $1,000 and reinvest that $1000 every hour (therefore not risking the profit, even though the chance of a 90% mature option to reverse to $0 is only 100%- 90% = 10%). If you do that, you can make $80 times 24. That's a cool $1920 from $1000 per day. That's almost 100% ROI. If you want to be risky and chose to enter at $50 you can make 100% ROI at a go.But that's more like a flip of the coin gambling than investment, because a $50 trade has a 50/50 chance of maturing to $100 or getting down to $0. And you only get paid if it matures to $100. Think about it, I made $ 5200 with 2 trades.I did not even need to do this around the clock.

If you start with $10,000 do the same math and multiply everything by 10.

Why limit yourself to conventinal investments while there are many legal, government regulated opportunities that one just need to explore?

Huyo jamaa yangu hapo juu anafikiri kuuza unga ndiyo njia pekee ya ku make money.

With this thing I have a better, safer and faster way of being a millionaire than kuuza unga. I have seen the strategy work too. I was just a bit too greedy and Trump just killed the Dow Jones in a way that happenned only for the second time this year.Otherwise I would have been well on my way to $50,000 now. From a mealy initial $2,000.

It's all about strategy. We don't have to be like dynosaurs following the same business patterns and ideas.

So you see, 14% is hardly a limit on ROI. One can get as high as 500% very realistically in a day. Even higher if one has nerves of steel and appetite for risk.

If you want to test online, let's get a demo account, you will get $25,000 demo money, and you can play around with that money using the low risk strategy of entering contracts at $90.

Then let's compare notes.

One thing I have noticed though is that this - at least for the platform I am using- a US regulated exchange and people in some places outside the US cannot register.

Ukiachana na hii ambayo ni personal zaidi - kampuni inaweza ku set up a trading desk na kuajiri watu wafanye trading- I am sure kuna investment opportunities za kurudisha better than 14% ROI. Ni suala la research, strategy na risk appetite tu.
 
I know someone in my neighbourhood who trades online in binary and currencies. He survives on trading hadi analipa rent. I tried to copy him but nililiwa vipesa vyangu hadi nikaviwacha hivyo vitrading. Nilianza na demo account kwanza kisha nakumbuka ilivyokuwa ngumu kufungua trading account wanaitisha electricity bill yenye iko kwa jina yangu na $100 (a hundred dollars) deposit. Lakini mwishowe nilitrade kidogo na nikagundua mimi si risk taker. Lakini wewe ni expert congratulations. Trading inataka mtu mwenye kuinvest time nyingi sana kuielewa na kupractice lakini sina hio time na pia mimi sipendi risky investment hata kama iko na high return. Halafu kila unapopata profit withdraw kidogo mwisho wa siku na kuiweka benki ili trump akipayuka usipoteze pesa yote. Ukiendelea hivyo utakuwa tajiri mkubwa sana duh!
 
Hahaah, asante.

Hata wewe unaweza ni kutaka tu, ila si ya kila mtu ni kweli. Maana kuna wakati inasee saw kama una roho nyepesi unaweza kupiga kelele.

Unaweza kua na hela kwenye online account lakini usizi commit kwenye trade. Ila kama unavyosema ni afadhali kuzikusanya kiasi fulani halafu kuzirudisha kwenye bank account ili usipate hata temptation ya kuzitumia mara moja.
 
Hivyo unavyosema ni sawa kwa most cases.Kuna mshkaji juzi kapata US $15,000 kumaliza mambo yake at around 14%. Na investment nyingi standard ni kweli zinatoa ROI ya around 10%.

Lakini hilo halina maana hakuna investment inayotoa above 14%.Kinachotokea tu ni kwamba the more a business gives ROI, the more risk it entails.Mimi nimezungusha $700 mpaka nikaifikisha just under $4,000 in a week kwenye options trading hivi karibuni tu. Kuna siku nimeondoka na faida ya $5,200. Siku moja. Mchana nimepiga $2,200 kabla ya lunch, jioni nikapiga $3,000 nilivyorudi nyumbani kabla ya dinner, na hapo nilianza na kama $2,000. Nikawa greedy nikazipandisha zikafika mpaka $23,000 nikaona nichukue a low risk Dow Jones position, Trump akabwatuka, Dow Jones Futures zikawa zinashuka mpaka nikapoteza $23,000. Lakini nazirudisha in a week or two.

Kwa hiyo usiseme hakuna ROI ya zaidi ya 14%, labda kama unaangalia low risk traditional investments za kujenga biashara ya brick and mortar. Lakini kama unacheza na akili yako online Futures trading unaweza kusema uanze na $1000 halafu uchukue low risk positions za 10% returns, hizi zime mature almost always zitakupa hela, so unaanza na $1,000, unachotakiwa kufanya ni ku time 20 minutes to time, ukikuta contract iko $90 that means 90% probabilty of maturing into $100 and making you money. So what you do is you buy those, 10 of them, at $900. After 20 minutes your $900 turns into $1000 and because you had $1,000 originally you end up with $1,1000 (well, minus $20 commissions so really $1080.

That's almost 10% return on the hour every hour Sunday 6 PM to Friday 4:15 PM EST.

If you want to make this a full time job you can start with $1,000 and reinvest that $1000 every hour (therefore not risking the profit, even though the chance of a 90% mature option to reverse to $0 is only 100%- 90% = 10%). If you do that, you can make $80 times 24. That's a cool $1920 from $1000 per day. That's almost 100% ROI. If you want to be risky and chose to enter at $50 you can make 100% ROI at a go.But that's more like a flip of the coin gambling than investment, because a $50 trade has a 50/50 chance of maturing to $100 or getting down to $0. And you only get paid if it matures to $100. Think about it, I made $ 5200 with 2 trades.I did not even need to do this around the clock.

If you start with $10,000 do the same math and multiply everything by 10.

Why limit yourself to conventinal investments while there are many legal, government regulated opportunities that one just need to explore?

Huyo jamaa yangu hapo juu anafikiri kuuza unga ndiyo njia pekee ya ku make money.

With this thing I have a better, safer and faster way of being a millionaire than kuuza unga. I have seen the strategy work too. I was just a bit too greedy and Trump just killed the Dow Jones in a way that happenned only for the second time this year.Otherwise I would have been well on my way to $50,000 now. From a mealy initial $2,000.

It's all about strategy. We don't have to be like dynosaurs following the same business patterns and ideas.

So you see, 14% is hardly a limit on ROI. One can get as high as 500% very realistically in a day. Even higher if one has nerves of steel and appetite for risk.

If you want to test online, let's get a demo account, you will get $25,000 demo money, and you can play around with that money using the low risk strategy of entering contracts at $90.

Then let's compare notes.

One thing I have noticed though is that this - at least for the platform I am using- a US regulated exchange and people in some places outside the US cannot register.

Ukiachana na hii ambayo ni personal zaidi - kampuni inaweza ku set up a trading desk na kuajiri watu wafanye trading- I am sure kuna investment opportunities za kurudisha better than 14% ROI. Ni suala la research, strategy na risk appetite tu.

Aisei!! Huu ulimwengu wako wa online trading unaonekana unahitaji elimu ya kiaina, nimejaribu kufuata hili bango lako nikaishiwa kulewa akili.
Are there some companies/individuals that can do these stuffs on ones behalf, yaani badala ya kuumiza akili nampa mtu vipesa vyangu apambane yeye lakini tunaingia kwenye makubaliano. Maana hizi bonds za serikali hela yake ndogo na inachelewa sana.
 
Sidhani.

The returns, if you know what you are doing, are so good that it doesn't make sense to do it for someone else.
Plus it does not always go well.I just lost $23,000 last Thursday. But I don't sweat it because I know what I did wrong and I know how to put $2,500 and turn it into another $25,000 in 2 weeks.I just have to stick with forex options, read about direction (the Yen is giving very good returns now) and I can even relax my risk aversion a bit and go in at $80, that means if I put $2,000 down and use it all to buy $80 dollar contracts (they have 80% chance of maturing to $100 and get you $100 each and 20% chance of bombing and getting you $0) so if I put down $2,000 at $80 a piece 20 minutes to time, in 20 minutes I take a 1/5 or 20% risk of losing 2,000 and 4/5 or 80% chance of making ($2000/80 ) x 100. Thats $500 profit in 20 minutes.

You can do that 24 times a day, or even more.
 
Kama yamefikia haya ya kunyang'anywa hadi ndege halafu Odinga ana uswahiba huko kwenu, tukimchekea naona itakua yale ya birds of a feather flock together, au you can judge a person by his friends or people he/she associates with.

Lakini labda huyu Tundu Lissu analipuka bila kuujua ukweli, vipi si mlimpima mkojo??
Nani mjanja ? Aliye pimwa mkojo au aliyekataa kutoa mkojo.
Zile testtube bado zipo kavu pale zinasubiri mkojo.
 
Back
Top Bottom