Duh! Nini cha Wakenya kujifunza kuhusu hili la Wabongo kunyang'anywa ndege kwa ajili ya deni

Bogus ni wewe usiyejua kwamba Magufuli kwa kiherehere chake cha kuminya mzunguko wa fedha ndiye aliyeua biashara na kupelekea BOT kushusha interest rate.

Na hata wakishusha mpaka ifike negative kama ilivyokuwa Japan, kama wafanyabiashara hawana imani na serikali, kushusha interest rate hakusaidii kitu.

Sent from my Kimulimuli
Tanzania pekee East Africa na kidedea duniani kuvutia investment
 
Kwanza biashara ya cash ni ujima. Kama zimelipiwa cash hilo linathibitisha viongozibwetu ni nyumbu. Watu wanachukua mkopo ulio na interest rate ndogo kuliko return on investment ya hela na kuweka hela kwenye sovereign wealth fund na kutumia interest kulipia hivi vimikopo. Ushaelewa akiki hiyo?

Pili.

Kama imelipiwa cash, wanachoikamatia ni kipi?

Umesoma original post? Inataja mkopo ambao haujalipwa.

Mtu ambaye anaacha kulipa mkopo kwa muda mrefu anafanya jambo la kijinga sana, kwa sababu mkopo unavyoachwa bila kulipwa kwa muda mrefu ndivyo interest charges zinavyozidi na credit worthiness ya mkopaji inavyopungua.

Halafu tunasifia utawala huu kwamba uko makini kweli?

Sent from my Kimulimuli
Tangia lini investment interest zikawa juu ya loan interests? Interest rates za kukosa bombardier unazijua? Kama juziiii kwanini ulaumu?

Ndege imekamatwa kwa deni lingine kabisa na wala halihusiani na ununuzi wa hiyo ndege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafahamu kwamba ukuaji tu haukwambii chochote?

Unafahamu kwamba mtu aliyekuza uchumi wake kutoka dola moja kwenda dola kumi amekuza uchumi wake mara kumi zaidi ya mtu aliyekuza uchumi wake kutoka dola bilioni moja kwenda dola bilioni kumi?

Unafahamu kwamba unaweza kukuza uchumi halafu uchumi ukaishia kwenda nje ya nchi?

Sent from my Kimulimuli
Hahaha so don't you see we are not like yesterday no matter what steps we take but we are moving to greatness, our economy is vibrant and mutable
 
Bogus ni wewe usiyejua kwamba Magufuli kwa kiherehere chake cha kuminya mzunguko wa fedha ndiye aliyeua biashara na kupelekea BOT kushusha interest rate.

Na hata wakishusha mpaka ifike negative kama ilivyokuwa Japan, kama wafanyabiashara hawana imani na serikali, kushusha interest rate hakusaidii kitu.

Sent from my Kimulimuli
Mungu wangu, kwaiyo biashara zingezidi kuwa vizuri kama wakati wa mkwere rates zingefika 90%??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangia lini investment interest zikawa juu ya loan interests? Interest rates za kukosa bombardier unazijua? Kama juziiii kwanini ulaumu?

Ndege imekamatwa kwa deni lingine kabisa na wala halihusiani na ununuzi wa hiyo ndege

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi nina investment zinazonilipa interest kubwa kuliko interest rates za loan. Nakopa, na invest. Nalupa mkopo.

Si kitu ninachosema kwa kusoma vitaabu. Ni kitu ninachoishi.

Unapoandika "interest rates za kukosa Bombardier" maanabyako nini? This is vague. It does not make sense.

Ndege imekamatwa kwa deni lingine kabisa lisilohusiana na ununuzi wa hii ndege? Hilo deni linahusiana na ununuzi wa nini? Ungo anaoruka nao Magufuli usiku?

Sent from my Kimulimuli
 
Biashara ni nini? Bila kueleza tafsiri ya "biashara" mtu anaweza kuhesabu hata meza ya shoe shine kama biashara.

Sent from my Kimulimuli
Business zinazopata vibali kupitia our EPZs, TIA, BRELA, TIC, Nafikiri unajua ni biashara za aina gani, to help you is at least 700 millions and above.
 
Mimi nina investment zinazonilipa interest kubwa kuliko interest rates za loan. Nakopa, na invest. Nalupa mkopo.

Si kitu ninachosema kwa kusoma vitaabu. Ni kitu ninachoishi.

Unapoandika "interest rates za kukosa Bombardier" maanabyako nini? This is vague. It does not make sense.

Ndege imekamatwa kwa deni lingine kabisa lisilohusiana na ununuzi wa hii ndege? Hilo deni linahusiana na ununuzi wa nini? Ungo anaoruka nao Magufuli usiku?

Sent from my Kimulimuli
Ndege imekamatwa kwa deni la kampuni ya kandarasi iliyofukuzwa nchini kwa kutomaliza kazi kwa wakati.. Umeisoma hiyo habari kweli?

Aisee ni wapi huko ambako interests za loan ziko chini ya investment interests? Last time I checked government bonds zina value 7%-15%.. Unafanya investment gani ndugu yetu au unawakopesha wauza unga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha so don't you see we are not like yesterday no matter what steps we take but we are moving to greatness, our economy is vibrant and mutable
Our economy is falling. Magufuli is to blame.

I oredict the fillowing in 2 to 3 years.

1. Negotiations with Acacia will fail. This will lead to Acacia stock to nosedive and they eventually will close shop in Tanzania.

2. The Tanzanian government will not be paid what it claims. This will mean failure to get the USD $190 claimed by the Tanzanian government.

3. The Tanzanian government will nationalize Acacias mines. Of which at least one, Buzwagi, is kaput anyway.

4. Tanzania will become a pariah. External investors will fear and leave. Internal investors will scake back adversely.

5. The interest rate will fall even further to no effect since investor confidence will be so low.

Put your predictions here and let us revisit in 2-3 years.

The best way tovsettke an argument is to put it throughbthevtest if time.

Put your predictiins here and ket us revisit in 2-3 years.

The best way tovsettke an argument is to put it throughbthevtest if time.

Sent from my Kimulimuli
Simple things become complicated when you expect too much, all that are wishes and time is the best teller.
 
Ndege imekamatwa kwa deni la kampuni ya kandarasi iliyofukuzwa nchini kwa kutomaliza kazi kwa wakati.. Umeisoma hiyo habari kweli?

Aisee ni wapi huko ambako interests za loan ziko chini ya investment interests? Last time I checked government bonds zina value 7%-15%.. Unafanya investment gani ndugu yetu au unawakopesha wauza unga?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kabisa nitake radhi kwa ku suggest nakopesha wauza unga.

Kabla ya hapo sitaweza kujibizana na wewe na wala wewe hutakiwi kujibizana na mtu anayeweza kukopesha wauza unga.

Sent from my Kimulimuli
 
Simple things become complicated when you expect too much, all that are wishes and time is the best teller.
Unafahamu kwamba kati yangu na wewe, wewe ndiye unaye expect too much hapa?

Pia.Hujaweka predictions zako.

Hujiamini?

Sent from my Kimulimuli
 
Business zinazopata vibali kupitia our EPZs, TIA, BRELA, TIC, Nafikiri unajua ni biashara za aina gani, to help you is at least 700 millions and above.
Unapoandika "is at keast 700 milluons and above" maana yako nini?

700 millions -sic- what? Cowrie shells?

What does 700 million represent? Revenue? Profit? Projected revenue? Investment?

Umetoa wapi hii? Unaweza kutoa source?

Unaandika kama mtu asiyejua anachoandika.

Kwa kweli kiranga usijifanye hujui nilichomaanisha
 
Wanaomlaumu na kumponda Mh mtawala, mtakuja kumuelewa na kumkubali siku za usoni.
Nchi ilishaaribiwa ktk vipind vya watawala waliopita, yeye kwasasa anajaribu kuiweka tz katk hali ya msawazo kwanza.
 
Kwa kweli kiranga usijifanye hujui nilichomaanisha
Mimi si Kiranga.

Pia, hujajibu maswali yangu.

Hizo 700 million ni nini? Investment? Projected revenue? Projected profit?

Unaweza kutupa source yako hapa?

Mtu akisema umezusha tu hiyo namba utamjibu vipi?

Sent from my Kimulimuli
 
Back
Top Bottom