miambovu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 375
- 780
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tundu Lissu ndiye kanunua hiyo ndege bila kujua atailipiaje?
.
Wakenya msipoteze muda kujifunza kwa Tanzania, mtapotea. Mtakuwa mnarudi nyuma badala ya kusonga mbele.
Jifunzeni kwa nchi kama South Africa na Ghana.
heheheduh na ndege hizi mbona zafanana na mitungi ya chang'aa?
Kwanza biashara ya cash ni ujima. Kama zimelipiwa cash hilo linathibitisha viongozi wetu ni nyumbu. Watu wanachukua mkopo ulio na interest rate ndogo kuliko return on investment ya hela na kuweka hela kwenye sovereign wealth fund na kutumia interest kulipia hivi vimikopo. Ushaelewa akiki hiyo?
Hata kununua sneaker ni investment.Buying aircrafts is investment just like building roads, harbor, railway and other infrastructures punguzeni unyumbu Tanzania is second with many tourist attractions in the world alafu eti una question kuhusu kuwa na National Airlines?
You should even ashamed for the lack of it
Mamlaka zako za juu zimejaa wapumbavu. Kwa mujibu wa rais wako. Mpumbavu mkuu aliyewateua.Kwa taarifa nilizonazo kutoka kwa mamlaka za juu wengi mtabe surprised keep on dreaming and calm
Bogus ni wewe usiyejua kwamba Magufuli kwa kiherehere chake cha kuminya mzunguko wa fedha ndiye aliyeua biashara na kupelekea BOT kushusha interest rate.We ni bogus hujui bot wameshusha ili kukuza biashara?
Hahaha kabisa, usukuma wa huyo jamaa wa kuchunga ng'ombe utawaponza WaTz wote hadi walima mchicha.Kama mnadaiwa mlipe, halafu msijifanye wajuaji...
Unyang'au kwa wazungu wekeni pembeni, kuna jamaa kawaletea usukuma sasa wanamnyambarua vipande vipande!
[emoji3]duh na ndege hizi mbona zafanana na mitungi ya chang'aa?
[emoji3] [emoji3] wanamparura sizonje au sisi raia?haha mkuu wacha kabisa sizonje katuingiza choo cha kike ngoja wamparure upara
[emoji3] [emoji3] mbona unatugongelea ivo mkuu!Kama yamefikia haya ya kunyang'anywa hadi ndege halafu Odinga ana uswahiba huko kwenu, tukimchekea naona itakua yale ya birds of a feather flock together, au you can judge a person by his friends or people he/she associates with.
Lakini labda huyu Tundu Lissu analipuka bila kuujua ukweli, vipi si mlimpima mkojo??
Acheni maneno ya kejeli hakuna cha usukuma wala niniKama mnadaiwa mlipe, halafu msijifanye wajuaji...
Unyang'au kwa wazungu wekeni pembeni, kuna jamaa kawaletea usukuma sasa wanamnyambarua vipande vipande!
Acha lugha za kashfa choo cha kike umeenda kufanya nini acha wakupige tu hiyo mitihaha mkuu wacha kabisa sizonje katuingiza choo cha kike ngoja wamparure upara
Utakuwa msukumà tu wewe...Acheni maneno ya kejeli hakuna cha usukuma wala nini
Nchi ni ya watanzania wote sio ya mtu mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ndugu na wasukuma ni mbalii mnooo am from southern higlands but comment za kupondeana makabila huwa sizikubali kabisaaaUtakuwa msukumà tu wewe...
Hakuna kabila lilopondwa hapa, othewise una interest na wasukuma...Mi ndugu na wasukuma ni mbalii mnooo am from southern higlands but comment za kupondeana makabila huwa sizikubali kabisaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania nchi ya nne duniani kwa ukuajiKwanza biashara ya cash ni ujima. Kama zimelipiwa cash hilo linathibitisha viongozibwetu ni nyumbu. Watu wanachukua mkopo ulio na interest rate ndogo kuliko return on investment ya hela na kuweka hela kwenye sovereign wealth fund na kutumia interest kulipia hivi vimikopo. Ushaelewa akiki hiyo?
Pili.
Kama imelipiwa cash, wanachoikamatia ni kipi?
Umesoma original post? Inataja mkopo ambao haujalipwa.
Mtu ambaye anaacha kulipa mkopo kwa muda mrefu anafanya jambo la kijinga sana, kwa sababu mkopo unavyoachwa bila kulipwa kwa muda mrefu ndivyo interest charges zinavyozidi na credit worthiness ya mkopaji inavyopungua.
Halafu tunasifia utawala huu kwamba uko makini kweli?
Sent from my Kimulimuli
Kuhusu Swala la uwekezaji TanzaniaHata kununua sneaker ni investment.
Tatizo, kwa nchi kama Tanzania, hiyo ni priority?
Ndege hizi zimegharimu kiasi gani na zimetengeneza kiasi gani?
Unafahamu biashara ya ndege? Unafahamu kwamba return on investment ya biashara ya ndege ni ndogo sana na ina fluctuate sana kutegemea na bei ya mafuta?
Unafahamu serikali ilishajitoa katika biashara?
Hivi hizo hela zilizotumika kwenye ndege hapo ndipo serikali imeona ndiyo sehemu bira kabisa ya kuwekeza?
Hivi serikali imeshindwa kuboresha miundombinu na kuweka mazingira mazuri kwa mashirika binafsi kustawi?
Ni wazi serikali haiwezi kufanya biashara ya ndege. Ndiyo maana imekopa mikopo miaka yote hii na haijalipa inalimbukiza interest tu. Mtu anayeacha kulioa mkopo na kulimbikiza interest hajui the very basic principles of business and money. Kwa sababu ana bleed money kwenye interest. Kwa nini unatetea ujinga huu wa ku bleed money kama investment?
Ku bkeed money katika interests on unpaid loan nininvestment strategy ya kutoka wapi?
Sent from my Kimulimuli
Tanzania nchi ya nne duniani kwa ukuaji