Swali lako halijakamilika kwa njia zaidi ya moja.
Kwanza, investment ina return. ROI.
Mkopo hauna return. Ukiuliza "ni wapi au kwenye investment ipi nitapata return kubwa kuzidi ya mkopo nikopako" ni kama umeuliza "rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?"
Kama swali lako ni "nibwapi au kwenye investment ipi nitapata return kubwa kuzidi interest rate ya mkopo nikopako" swali hili ni logical na linaeleweka kwa sababu linataka kulinganisha rates, rate of return on investment vs interest rate on loan.
Ingawa swali linalotaka ku compare rates lina make sense, swali hilo bado halijibiki kama hujaweka mkopo wako umeupata wapi na kwa interest rate gani.
Ukiniuliza swali la interest rate bila kitaja interest rate unakuwa kama yule mfalme aliyemuita mtafsiri ndoto, akamwambia "nataka unitafsirie ndoto yangu". Halafu mtafsiri ndoto akamwambia mfalme, "naam, hiyo ndiyobkazi yangu, niambie ndoto yako ilikuwaje na mimi nitakutafsiria". Halafu mfalme akamwambia " nataka unitafsirie ndoto. Lakini tatizo nineisahau ndoto yangu. Hivyo kwanza nataka uniambie ndoto yangu ilikuwaje, kisha initafsirie".
.
Now thats bonkers.
Niambie mkopo wako umekopa wapi. Niambie umekopa lini. Niambie umepata interest rate asilimia ngapi. Kwa ushahidi gani. Halafu tuendelee kuelekezana.
Sent from my Kimulimuli