Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Wakenya tayari wameshapata somo ndiyo maana wamempiga chini Odinga aliyesema ataongoza kwa style za Magufuli yaani stye zilizosababisha ndege ya Tanzania kutekwa huko Canada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Buying aircrafts is investment just like building roads, harbor, railway and other infrastructures punguzeni unyumbu Tanzania is second with many tourist attractions in the world alafu eti una question kuhusu kuwa na National Airlines?Habari ya kununua ndege hizi ilikuwa ni uamuzi wa kijinga kabisa.
Ndege si priority kubwa ya kiuchumi itakayoweza kuzalisha na ku snowball uchumi hivyo.Airlines nyingi zinaendeshwa kwa faida ya very low margin, ndiyo maana nchi kama Marekani airlines zinakuwa very inventive kuweka ma luggage fees etc angalau zipate pesa kidogo zaidi.
Sisi tunaona midege fahari.
Akili za kimasikini sana. This is something you do after you make money, not when you want to make money.
Hakuna damu inaenda bure.Kama yamefikia haya ya kunyang'anywa hadi ndege halafu Odinga ana uswahiba huko kwenu, tukimchekea naona itakua yale ya birds of a feather flock together, au you can judge a person by his friends or people he/she associates with.
Lakini labda huyu Tundu Lissu analipuka bila kuujua ukweli, vipi si mlimpima mkojo??
Source?Ishaachiwa
lol!! zile bombadier zao uchwara? Geza na wenzake bila shaka watapita hapa kimya kimya....niliwaambia ukiona cha mwenzio chanyolewa, tia chako maji...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]duh na ndege hizi mbona zafanana na mitungi ya chang'aa?
Kujaribu [emoji818]️-kujalibu [emoji777],ni la muda [emoji818]️-nilamuda[emoji777],kuhamia [emoji818]️-kuamia [emoji777], cha nyuma [emoji818]️-chanyuma. Hii ni baadhi tu. Magufuli alisema mawaziri wake wapumbavu, sasa sijui wanao mshabikia watakuwaje!Pimbi kweli wewe na MK aka shelawadu wa Jubilee. Kwanza tunajua kuwa Jubilee na Chadema mmeungana kupambana na Magufuli pamoja na kujalibu kuhujumu mafanikio ya Tanzania. Swala la Kenya kuhujumu mafanikio ya TZ kupitia viongozi nilamuda mrefu. Mme mkuwa kipindi chanyuma mkijipenyeza kwa wanasiasa Wa CCM ilikufanikisha hill. Ila kutokana na Magufuli kutimua na kuwaweka kando wana CCM wasio wazalendo mmeamia Chadema. Toka Brookside ipewe taarifa na serikali ya Magufuli yakuludisha mitambo iliyo ngoa kwenye kiwanda cha maziwa Arusha na YANA kwenye kiwanda cha General Tyre imekuwa taabu kweli kwa Uhuru. Sasa wewe kuja na ushelawadu Wa Tindu Lissu humu unaonyesha jinsi akili yako niyakuvuka Barabara. Kwanza Canada hakuna kampuni kama hiyo. View attachment 569922View attachment 569922