Duh! Nini cha Wakenya kujifunza kuhusu hili la Wabongo kunyang'anywa ndege kwa ajili ya deni

Duh! Nini cha Wakenya kujifunza kuhusu hili la Wabongo kunyang'anywa ndege kwa ajili ya deni

Wakenya tayari wameshapata somo ndiyo maana wamempiga chini Odinga aliyesema ataongoza kwa style za Magufuli yaani stye zilizosababisha ndege ya Tanzania kutekwa huko Canada.
 
Uzuri wa Tanzania hatuuwi wasaliti kama Kenya, yanayotokea Tanzania ingekuwa ni Kenya, sasa hivi tusha zika watu
 
Habari ya kununua ndege hizi ilikuwa ni uamuzi wa kijinga kabisa.

Ndege si priority kubwa ya kiuchumi itakayoweza kuzalisha na ku snowball uchumi hivyo.Airlines nyingi zinaendeshwa kwa faida ya very low margin, ndiyo maana nchi kama Marekani airlines zinakuwa very inventive kuweka ma luggage fees etc angalau zipate pesa kidogo zaidi.

Sisi tunaona midege fahari.

Akili za kimasikini sana. This is something you do after you make money, not when you want to make money.
Buying aircrafts is investment just like building roads, harbor, railway and other infrastructures punguzeni unyumbu Tanzania is second with many tourist attractions in the world alafu eti una question kuhusu kuwa na National Airlines?

You should even ashamed for the lack of it
 
Kwa taarifa nilizonazo kutoka kwa mamlaka za juu wengi mtabe surprised keep on dreaming and calm
 
Kama yamefikia haya ya kunyang'anywa hadi ndege halafu Odinga ana uswahiba huko kwenu, tukimchekea naona itakua yale ya birds of a feather flock together, au you can judge a person by his friends or people he/she associates with.

Lakini labda huyu Tundu Lissu analipuka bila kuujua ukweli, vipi si mlimpima mkojo??
Hakuna damu inaenda bure.

ad4c3b5106c9499dc3fed1c29408cd55.jpg
 
Wakenya nyinyi mna Rais smart, Kariba bora na uelewa mpana. mambo ya ajabu yanatokea Tanzania ni matokeo ya kuwa na rais wa ajabu ajabu, Wajinga wengi na Katiba ya viraka.
 
hawa watu weupe wanashikana balaa, pia ni wanafiki sana .bora kununua ndege toka brazil wao weupe wao kidogo una weusi ndani yake
 
Kiuchumi, kisiasa na kisheria Kenya iko mbele sana, Tanzania bado tupo na blah blah tu. Hakuna cha maana cha kujifunza hapo.
 
Wakenya nyinyi mna Rais ambaye yuko smart, Katiba bora na uelewa mpana. mambo ya ajabu yanatokea Tanzania ni matokeo ya kuwa na rais wa ajabu ajabu, Wajinga wengi na Katiba ya viraka.
 
Wakenya msipoteze muda kujifunza kwa Tanzania, mtapotea. Mtakuwa mnarudi nyuma badala ya kusonga mbele.
Jifunzeni kwa nchi kama South Africa na Ghana.
 
Pimbi kweli wewe na MK aka shelawadu wa Jubilee. Kwanza tunajua kuwa Jubilee na Chadema mmeungana kupambana na Magufuli pamoja na kujalibu kuhujumu mafanikio ya Tanzania. Swala la Kenya kuhujumu mafanikio ya TZ kupitia viongozi nilamuda mrefu. Mme mkuwa kipindi chanyuma mkijipenyeza kwa wanasiasa Wa CCM ilikufanikisha hill. Ila kutokana na Magufuli kutimua na kuwaweka kando wana CCM wasio wazalendo mmeamia Chadema. Toka Brookside ipewe taarifa na serikali ya Magufuli yakuludisha mitambo iliyo ngoa kwenye kiwanda cha maziwa Arusha na YANA kwenye kiwanda cha General Tyre imekuwa taabu kweli kwa Uhuru. Sasa wewe kuja na ushelawadu Wa Tindu Lissu humu unaonyesha jinsi akili yako niyakuvuka Barabara. Kwanza Canada hakuna kampuni kama hiyo. View attachment 569922View attachment 569922
Kujaribu [emoji818]️-kujalibu [emoji777],ni la muda [emoji818]️-nilamuda[emoji777],kuhamia [emoji818]️-kuamia [emoji777], cha nyuma [emoji818]️-chanyuma. Hii ni baadhi tu. Magufuli alisema mawaziri wake wapumbavu, sasa sijui wanao mshabikia watakuwaje!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Zanzibar ASP uunasema Kenya hawana la kujufunza kwetu kweli ?
Hapana nafkiri umepitiwa kidogo. Pamoja na matatizo ya ndani ya Tz kama nchi. Kenya wana mengi ya kujifunza kutoka Tz. Kenya inahiitaji Tz zaidi ya Tz inavyohiutaji Kenya.
 
Back
Top Bottom