Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
lol!! zile bombadier zao uchwara? Geza na wenzake bila shaka watapita hapa kimya kimya....niliwaambia ukiona cha mwenzio chanyolewa, tia chako maji...
Nashangaa hadi leo badi ndege yenu haijaachiwa, mumeishia kumkamata Lissu. Lipeni aisei hii ni aibu balaa.
Mkuu MK254, mbona kudaiwa/madeni ni jambo la kawaida sana sana, hata taifa Tajiri kama Merikani nayo inadaiwa - we sema it pays kuwa muungwana kwa kulipa madeni ya watu, Wenzetu ngozi nyeupe ukiwafanyia ujanja wanajua wapi pa kuku-corner na asikudanganye mtu wazungu wote wa magharibi lao moja - wakitaka kufanya kweli utajuta kuzaliwa.
Deni ni jambo la kawaida hilo linaeleweka, lakini ukiona inafikia hadi vitu vyako vikamatwe ili ulipe basi inakupa sifa mbaya hata kwa wanaokusudia kukukopesha kesho.