Duh! Tanzania yenye watu milioni 60, ina wataalam 3.3%.......kazi bado sana tu

Duh! Tanzania yenye watu milioni 60, ina wataalam 3.3%.......kazi bado sana tu

I've been trying to tell them. when we call them Bongolalas we are not insulting them. Their brains are M.I.A
And its not faaaaaane at all.Even chinese were amazed on a turn around about baga mayoye (bagamoyo)
 
Ni kweli! Kwa sababu majuzi nilikuwa nasikiliza radio DW - wakasema nchi ya KENYA 🇰🇪 ina wataalamu wa AFYA 800 katika taifa la UINGEREZA 🇬🇧 pekee yake na TANZANIA 🇹🇿 ina wataalamu wa AFYA wasiopunguwa 50 katika taifa la UINGEREZA 🇬🇧.
Hizi ndio taarifa za uhakika - TANZANIA 🇹🇿 ina wataalamu wa AFYA wasiopunguwa hamsini [ 50 ] katika taifa la UINGEREZA 🇬🇧 na KENYA 🇰🇪 ina wataalamu wa AFYA mia nane [ 800 ] katika taifa la UINGEREZA 🇬🇧. Na hawa wataalamu wa AFYA kutoka TANZANIA 🇹🇿 ni wale waliosoma mitaala ya CAMBRIDGE na mitaala mingine ya KIMATAIFA, sio wale waliosoma mitaala ya NECTA.
 
Back
Top Bottom