Ni kweli! Kwa sababu majuzi nilikuwa nasikiliza radio DW - wakasema nchi ya KENYA π°πͺ ina wataalamu wa AFYA 800 katika taifa la UINGEREZA π¬π§ pekee yake na TANZANIA πΉπΏ ina wataalamu wa AFYA wasiopunguwa 50 katika taifa la UINGEREZA π¬π§.