Mlete Xi Jinping
Usijaribu hata, hali inaweza kuwa mbayaKigezo:
"..age 25-64 with a Bachelor's degree or higher"
Sijui kwa Tanzania hao ni % ngapi ya population
1%Kigezo:
"..age 25-64 with a Bachelor's degree or higher"
Sijui kwa Tanzania hao ni % ngapi ya population
Na bado hawapati kazi🤣Usijaribu hata, hali inaweza kuwa mbaya
Bado tunataka kushindana nao kaka, population ya ulaya huwezi kuodanganyaNa bado hawapati kazi🤣
Upo sahihi kbsa mkuuWaarabu elimu Yao IPO kwenye dini na ndoa ambapo waafrica nao hatujaweka elimu kama kipaumbele chetu vilevile na sisi tumejikita kwenye ndoa na elimu za dini
Mwafrika anakuwa heavly influenced na jamii iliyo mtawala, sehem ambayo ilitawaliwa na warabu utaona hulka zao zilivyo, vile vile walitawaliwa na wazungu wana different cultrure kabisa( kuna mambo wao ni kipaombele)Waarabu elimu Yao IPO kwenye dini na ndoa ambapo waafrica nao hatujaweka elimu kama kipaumbele chetu vilevile na sisi tumejikita kwenye ndoa na elimu za dini
Wee mwenyewe unasema umepewa hiyo elimu sasa utawapitajeTukipata masters ya mchongo tulivyo na jeuri sasa
Tukisoma international schools tunavyowazodoa kayumba sasa
Kumbe hata hatutambuliki na wanatupea hiyo elimu.Inasikitisha sana... kweli ni ubatili mtupu
Waarabu na Waafrika ni mbingu na ardhi,
Waarabu wapo mbele sana ya Waafrica, ni nchi gani Africa, (namaanisha Sub Sahara Africa) utaifananisha na Qatar au Saudi Arabia, au Quwait? UAE?
Mtasema wanabebwa na mafuta lakini mbona nchi kibao za Africa zina mafuta na hawafikii hata robo yao?
Umefika uarabuni? waarabu hawaumizi kichwa kwenye research na development wao wana pesa nyingi sana wanawatumikisha wazungu waumize kichwa kisha wao wanawapa pesa teknolojia inakuja kiulaini, au ni sifa kuwa wewe ndo ulikuwa unakesha usiku kuloweka miguu kwenye ndoo.
This makes a lot of sense! Hata Israel kuna kundi moja limeifanya iwe kwenye position hiyo. Could be somewhere higher than where it is.Hapa tunaongea kuhusu elimu, kumbuka hata hayo mafuta mzungu kayagundua na yeye ndiye anayachuma, waarabu wenu kazi yao walijua tu kuuza tende na kanzu.