Duh! Waafrika na Waarabu hatumo kwenye mataifa yenye elimu duniani

Duh! Waafrika na Waarabu hatumo kwenye mataifa yenye elimu duniani

We si ndio umeleta mambo ya upunga humu ndio maana nikakuuliza we ni shoga maana kawaida yenu kujitangaza
Wasomi wenzako hao wanafukuana labda na wewe umo au wewe si msomi ??
 
Kwa Akili zetu hizi za kuwaza mbingu ya kusadikika+ miujiza feki na tende za bure kutoka kwa vitukuu vya mtume muhuni Muhammad, unategemea tuwe na elimu ipi?

Pili kwa akili zetu hizi za kukazania elimu ya kishenzi ya kuchapana viboko kisa kulazimishana kukalili effects of world war1$2, sijui fishing industry in Europe, au agricultural activities from Asia, yatusaidie nini haya matakataka?

Au basi hata kwa hizi akili zetu za kujaza elimu ya Quran+biblia badala ya kukazania mambo ya msingi kama gunduzi za kisayansi ktk afya, kilimo, ufugaji, maarifa ya anga, utabibu nk, sisi tuko bize kupoteza muda kushinda makanisani, misikitini, vijiwe vya kubishana simba&yanga, huku media tunazotegemea zitoe elimu kwa jamii nazo ziko bize kurusha maudhui ya ngono, betting, mpira, na upuuzi wa kila aina, tutaelimikaje?

Waarabu tofauti yao na sisi ni kwamba wao wamebarikiwa vurugu na misimamo ya kipuuzi ambayo inawagawanya wao kwa wao wakibaguana huku wengi wao wakiumia na wachache wakineemeka.

Pia tofauti na hilo, ktk hiyo list unadhani iko sahihi? Au sababu kaiandika aliye ktk upande wa umagharibi?, kwa akili ndogo tu hiyo list ni batili, kwa dunia ya sasa kuna taifa unaloweza kutolitaja au kulitoa ktk top5 ya development kielimu ambalo ni CHINA, pia Russia? hiyo list ndio yale yale tunarudi ktk angle ya ukoloni kujipendelea wao na wafuasi wao. FAKE LIST
 
Waarabu na Waafrika ni mbingu na ardhi,
Waarabu wapo mbele sana ya Waafrica, ni nchi gani Africa, (namaanisha Sub Sahara Africa) utaifananisha na Qatar au Saudi Arabia, au Quwait? UAE?
Mtasema wanabebwa na mafuta lakini mbona nchi kibao za Africa zina mafuta na hawafikii hata robo yao?
Hata ktk nchi za waarabu zilizo na maendeleo ni zile zile zinazofuata mlengo wa wamagharibi wa kikoloni, mlengo ambao unazipa neema ya kupata uhakika wa masoko ya bidhaa zao na sapoti kutoka Europe+USA, nchi zenyewe ni zile zile za akina UAE, Saudi Arabia, Qatar, Kuwait, the rest ni takataka kama zilivyo nchi masikini za kiafrika.

Mahaba ya Udini ndio huwafanya wafuasi wa uislamu muwaone waarabu watu wa tofauti kumbe vilaza kuliko hata sisi ambao bado tunakandamizwa na wakoloni wetu wa ulaya
 
Kwanza huo mrengo wa kimagharibi wa kikoloni ndio upi huo, na je nchi za Africa hazifuati huo Mrengo?

Je Iran ambayo ipo antagonistic na West, pamoja na kuwekewa vikwazo vingi unaweza kuifananisha na nchi gani ya Sub Sahara Africa?
 
Back
Top Bottom