Duh! Waafrika na Waarabu hatumo kwenye mataifa yenye elimu duniani

Duh! Waafrika na Waarabu hatumo kwenye mataifa yenye elimu duniani

Waarabu na Waafrika kazi yetu kuhubiri ngono, kuzaliana lakini kwenye elimu hatumo...
Kuna wale huwa mnasema Waarabu wako vizuri kisa wana mafuta, mnasahau hayo mafuta yaligunduliwa na mzungu, na yeye hutumia mifumo yake kuyachuma, muarabu yuko vizuri tu kwenye kuuza tende na mikanzu...

Charted: The World’s Most Educated Countries​


Most-Educated-Countries_03-web.jpg


Kutoka waarabu na waafrika mpaka kuwatusi na kuwa attack waislamu.!!!! Shameless.
 
Hapa tunaongea kuhusu elimu, kumbuka hata hayo mafuta mzungu kayagundua na yeye ndiye anayachuma, waarabu wenu kazi yao walijua tu kuuza tende na kanzu.
Mzungu anayachuma? kwani ni machungwa hayo? Saudi arabia inaingiza zaidi ya billion 1$ kila siku kupitia mauzo ya mafuta.
 
Nilijua mtakuja na haya mavitu, yes ni hayo mafuta aliyogundua mzungu ndio huwabeba, hakuna nhi ya Kiafrika kwenye kumi bora kwenye uzalishaji wa mafuta, isingekua hayo mafuta hao waarabu wenu kuuza tende na kanzu sijui wangekua wapi.
Mkuu Nigeria inazalisha mafuta mengi sana, hali yake unaijua?
 
Waarabu watasomaje wakati hii elimu dunia inapingana na utamaduni wao ambao kwao muhimu ni madrasa ambapo wanajifunza tu kukariri quran.

Ndio maana hata ukija hapa Tanzania jamii ya watu wanaoishi kwenye maeneo yaliyokaliwa sana na waarabu utakuta wengine hata kusoma na kuandika ni changamoto kubwa.

Nchi kama Yemen ni moja ya nchi masikini sana duniani na wako nyuma sana kielimu kwa sababu kipa umbele chao ni elimu ya madrasa ambayo haiwezi kusaidia chochote kwa maendeleo ya nchi na ndio maana nchi yao iko nyuma sana kimaendeleo.
 
Umefika uarabuni? waarabu hawaumizi kichwa kwenye research na development wao wana pesa nyingi sana wanawatumikisha wazungu waumize kichwa kisha wao wanawapa pesa teknolojia inakuja kiulaini, au ni sifa kuwa wewe ndo ulikuwa unakesha usiku kuloweka miguu kwenye ndoo.
Huna akili
 
Waarabu watasomaje wakati hii elimu dunia inapingana na utamaduni wao ambao kwao muhimu ni madrasa ambapo wanajifunza tu kukariri quran.

Ndio maana hata ukija hapa Tanzania jamii ya watu wanaoishi kwenye maeneo yaliyokaliwa sana na waarabu utakuta wengine hata kusoma na kuandika ni changamoto kubwa.

Nchi kama Yemen ni moja ya nchi masikini sana duniani na wako nyuma sana kielimu kwa sababu kipa umbele chao ni elimu ya madrasa ambayo haiwezi kusaidia chochote kwa maendeleo ya nchi na ndio maana nchi yao iko nyuma sana kimaendeleo.
Na ndo changamoto ya Zanzibar! Nikiwa nasoma Diploma ya sheria chuo cha uongozi wa Mahakama Lushoto nilifundishwa na Mzanzaibar mmoja somo la Islamic law alikuwa anaitwa Mzee Mzee. Aliniambia Kwa kina Kwa nini Zanzibar iko hivyo ilivyo leo hii( duni kielimu) alisema chanzo ni waarabu na uislamu.
 
Bila shaka wewe ni Madrasa Graduate ndio maana mada kama hii unaipa kisogo kwa kuleta mipasho.
Unaongea pumba sana, umejaribu kufuatilia arguments au unaropoka.

Mpaka sasa mimi sijadhihaki imani ya mtu ila wajinga kama nyinyi huwa mstari wa mbele kudhihaki imani za wengine.
​
 
Waarabu na Waafrika kazi yetu kuhubiri ngono, kuzaliana lakini kwenye elimu hatumo...
Kuna wale huwa mnasema Waarabu wako vizuri kisa wana mafuta, mnasahau hayo mafuta yaligunduliwa na mzungu, na yeye hutumia mifumo yake kuyachuma, muarabu yuko vizuri tu kwenye kuuza tende na mikanzu...

Charted: The World’s Most Educated Countries​


Most-Educated-Countries_03-web.jpg




WENYE ELIMU WANCHOKOANA MIVUTU

All Countries That Have Legalized & Banned Same-Sex Marriage - Brilliant Maps
 
Back
Top Bottom