baba sumayyah
Senior Member
- Sep 10, 2024
- 109
- 137
Kutoka waarabu na waafrika mpaka kuwatusi na kuwa attack waislamu.!!!! Shameless.Waarabu na Waafrika kazi yetu kuhubiri ngono, kuzaliana lakini kwenye elimu hatumo...
Kuna wale huwa mnasema Waarabu wako vizuri kisa wana mafuta, mnasahau hayo mafuta yaligunduliwa na mzungu, na yeye hutumia mifumo yake kuyachuma, muarabu yuko vizuri tu kwenye kuuza tende na mikanzu...
Charted: The World’s Most Educated Countries
Mzungu anayachuma? kwani ni machungwa hayo? Saudi arabia inaingiza zaidi ya billion 1$ kila siku kupitia mauzo ya mafuta.Hapa tunaongea kuhusu elimu, kumbuka hata hayo mafuta mzungu kayagundua na yeye ndiye anayachuma, waarabu wenu kazi yao walijua tu kuuza tende na kanzu.
Wewe Mkenya wa Kibera slum unasemaje?Huyo kobaz husifia sana Wachina...
Mkuu Nigeria inazalisha mafuta mengi sana, hali yake unaijua?Nilijua mtakuja na haya mavitu, yes ni hayo mafuta aliyogundua mzungu ndio huwabeba, hakuna nhi ya Kiafrika kwenye kumi bora kwenye uzalishaji wa mafuta, isingekua hayo mafuta hao waarabu wenu kuuza tende na kanzu sijui wangekua wapi.
Bila shaka wewe ni Madrasa Graduate ndio maana mada kama hii unaipa kisogo kwa kuleta mipasho.Wewe Mkenya wa Kibera slum unasemaje?
Mipasho gani?Bila shaka wewe ni Madrasa Graduate ndio maana mada kama hii unaipa kisogo kwa kuleta mipasho.
Huna akiliUmefika uarabuni? waarabu hawaumizi kichwa kwenye research na development wao wana pesa nyingi sana wanawatumikisha wazungu waumize kichwa kisha wao wanawapa pesa teknolojia inakuja kiulaini, au ni sifa kuwa wewe ndo ulikuwa unakesha usiku kuloweka miguu kwenye ndoo.
Ni sawa maoni yako ila sidhani kama uko sahihi.Huna akili
Sisi tunaongoza Kwa kusoma Quran ya AllahKutoka waarabu na waafrika mpaka kuwatusi na kuwa attack waislamu.!!!! Shameless.
Kwani wachina na wajerumani na wasaudia wanajifunzia lugha gani?Tatzo kubwa hapa ni lugha,huwez shindana kwenye elimu na mtu ambae lugha mama ndo hyo hyo anayojifunzia
Na ndo changamoto ya Zanzibar! Nikiwa nasoma Diploma ya sheria chuo cha uongozi wa Mahakama Lushoto nilifundishwa na Mzanzaibar mmoja somo la Islamic law alikuwa anaitwa Mzee Mzee. Aliniambia Kwa kina Kwa nini Zanzibar iko hivyo ilivyo leo hii( duni kielimu) alisema chanzo ni waarabu na uislamu.Waarabu watasomaje wakati hii elimu dunia inapingana na utamaduni wao ambao kwao muhimu ni madrasa ambapo wanajifunza tu kukariri quran.
Ndio maana hata ukija hapa Tanzania jamii ya watu wanaoishi kwenye maeneo yaliyokaliwa sana na waarabu utakuta wengine hata kusoma na kuandika ni changamoto kubwa.
Nchi kama Yemen ni moja ya nchi masikini sana duniani na wako nyuma sana kielimu kwa sababu kipa umbele chao ni elimu ya madrasa ambayo haiwezi kusaidia chochote kwa maendeleo ya nchi na ndio maana nchi yao iko nyuma sana kimaendeleo.
Kumbe ni mfuasi wa mwamedi🤣🤣🤣Huyo kobaz husifia sana Wachina...
Bila shaka wewe ni Madrasa Graduate ndio maana mada kama hii unaipa kisogo kwa kuleta mipasho.
Mvalishwa pampers tulia upewe elimuHuyo kobaz husifia sana Wachina...
Kumbe ni mfuasi wa mwamedi🤣🤣🤣
Nilijua tu anajishikiza china kupunguza machungu aliyonayo juu ya watu waliostaarabika
Asjue china haitaki kabisa kumsikia mwamedi😁😁
Waarabu na Waafrika kazi yetu kuhubiri ngono, kuzaliana lakini kwenye elimu hatumo...
Kuna wale huwa mnasema Waarabu wako vizuri kisa wana mafuta, mnasahau hayo mafuta yaligunduliwa na mzungu, na yeye hutumia mifumo yake kuyachuma, muarabu yuko vizuri tu kwenye kuuza tende na mikanzu...
Charted: The World’s Most Educated Countries