Juzi nilimwomba nimuulize maswali yahusuyo bibilia alikubali lakini muda wa maswali ulipofika alitokomea mitini.Wewe mlokole harusi yenye pombe unaenda kufanya nini? Acha kiherehere
Hee, secretarybird ,Juzi nilimwomba nimuulize maswali yahusuyo bibilia alikubali lakini muda wa maswali ulipofika alitokomea mitini.
Setfree.
Jiandae nayo keshoHee, secretarybird ,
Maswali ya Atheist Infropreneur siyakimbii, nikimbie ya kwako? Mbona sijayaona. Au ulianzisha mada mpya?
Basi teua siku yako mwenyewe.Kesho ni siku ya kushangilia na kula pasaka π
Mental case hiyo, hawa ndio walienda Airport bila passport, visa wala ticket. Wanaitwa kondoo wa bwanaWewe mlokole harusi yenye pombe unaenda kufanya nini? Acha kiherehere
Usiniweke kwenye kundi hilo. Wale watu Maandiko walikuwa hawayajui. Shetani alikuwa amezitia giza akili zao. Mimi passport ninayo, mkuu.Mental case hiyo, hawa ndio walienda Airport bila passport, visa wala ticket. Wanaitwa kondoo wa bwana
Kwenye harus ya Kana, Yesu anageuza maji kuwa divai.My dear Demi , nani aende kwenye mipombe na harufu zake, mimi?
Hahaa. I was set free from the bondage of alcohol a long time ago!
Dada setfree mimi kwanza nakipongeza kwa mada zako nzuri sana aisee zimwage humu kila mahali hata kwa mchngo nitakuchangia injili isonge mbeleKesho ni siku ya kushangilia na kula pasaka π
Mimi nilikuwepo eneo la tukio, wewe ulikuwepo ?Ile ilikuwa divai njema. Haikuwa na kilevi(alcohol).