Mtu anakutahadharisha usiende motoni unamuona kero. Haya, kuna siku habari hizi njema hamtazisikia tena. Yesu akija atawanyakua watakatifu tu na neema itafungwa. Wenye dhambi tu ndo watabaki duniani wakiteseka. Mtatamani kuwasikia walokole lakini hamtawaona tena. Itakuwa kilio na kusaga meno.Ila wafia dini inafika wakati mnakua kero, ukweli lazima usemwe. Lol
Kwahiyo huko Mbinguni wanaenda Walokole tyuuh?Mtu anakutahadharisha usiende motoni unamuona kero. Haya, kuna siku habari hizi njema hamtazisikia tena. Yesu akija atawanyakua watakatifu tu na neema itafungwa. Wenye dhambi tu ndo watabaki duniani wakiteseka. Mtatamani kuwasikia walokole lakini hamtawaona tena. Itakuwa kilio na kusaga meno
Kwa hiyo harusi ya Kana ilikuwa ya mashetani ?Kama wewe ni shetani, basi sawa ulikuwepo eneo la tukio
Basi sawa.Ndio. Walokole kwa maana ya watakatifu. Soma: Waebrania 12:14
Hahaa, Evelyn Salt mbona sasa umeweka emoji ya kicheko? Aliyechoshwa anacheka?Hata wewe setfree unatuchosha 😁
1. Nani aliyekwambia wote hawapo ?Waliokuwepo kwenye harusi ile, wote hawapo duniani, isipokuwa shetani tu.
Ndo maana nimesema kama wewe ni shetani sawa, ulikuwepo!
Nimechoka hadi nmechoka tena mama mchungaji ndo maana nacheka tu, ukiendelea nitalia hadi nitagalagala.....Hahaa, Evelyn Salt mbona sasa umeweka emoji ya kicheko? Aliyechoshwa anacheka?
Tukio lile lilifanyika miaka 2000+ iliyopita. Nani anaweza kuishi miaka hiyo yote.1. Nani aliyekwambia wote hawapo ?
2. Wewe una uhakika na uwepo wa huyo shetani wakati huu ?
3. Mimi najua shetani alishateketezwa, wewe shetani wako umemtoa wapi ?
Wewe nakuona kabisa unahitaji maombi maalumu kutoka kwangu, njoo njkufanyie maombi mrembo. Achana na mpenzi shetani.Tukio lile lilifanyika miaka 2000+ iliyopita. Nani anaweza kuishi miaka hiyo yote.
Lakini shetani alikuwepo tangu wakati wa Adam na Hawa na mpaka leo yupo. Huyu ndo anazitia giza akili za watu wasiione nuru ya Kristo. Atheists, mashoga, malaya, walevi, ni watu waliotiwa giza akili zao na shetani.
Hata hivyo moto umeishaandaliwa kwa ajili ya shetani na wote wanaomfuata, wataangamia, soon.
Mwee, ukilia na kugalagala kwa maombi ya toba, mbona ntapiga "vigelegele" vya shangwe kusikia Evelyn Salt ameokoka. Na malaika mbinguni watafurahi sana.Nimechoka hadi nmechoka tena mama mchungaji ndo maana nacheka tu, ukiendelea nitalia hadi nitagalagala.....
Wapi kwenye bible wamekata pombe?Wewe mlokole harusi yenye pombe unaenda kufanya nini? Acha kiherehere
Akiokoa huyo na mie naokoka 🤣🤣🤣🤣Mwee, ukilia na kugalagala kwa maombi ya toba, mbona ntapiga "vigelegele" vya shangwe kusikia Evelyn Salt ameokoka. Na malaika mbinguni watafurahi sana.
Kuokoka ni kufanya nini ma mtumishiMwee, ukilia na kugalagala kwa maombi ya toba, mbona ntapiga "vigelegele" vya shangwe kusikia Evelyn Salt ameokoka. Na malaika mbinguni watafurahi sana.
Maandiko yako mengi sana yanayotukataza kunywa pombe. Andiko mojawapo ni hili:Wapi kwenye bible wamekataza pombe?
Walokole ni majipu. Mnafungua makanisa kila kona... ukienda Mbeya hadi Tunduma usiku hulali kwa sababu ya makelele yenu ya kipumbavu. Hata Mungu hapendi mnavyowapigia kelele viumbe wake usiku kucha. Pia kwa sasa walokole mna mchango mkubwa sana wa kuongeza umaskini na kuvunja ndoa za watu. Makanisani kwa sasa ni mwendo wa kuwakamua waumini wao hata kidogo walicho nacho. Makanisa yote yana sadaka na michango inayokera sana. Mbaya zaidi wanalazimisha tutoe 10% ya mapato yetu kulisha viongozi wa dini. Mke wangu akitaka kuwa mlokole nampa talaka bila kufikiria mara mbili.Ndio. Walokole kwa maana ya watakatifu. Soma: Waebrania 12:14