Duh, walokole mnatuchosha - mnatuboa na mada zenu!

Kuokoka ni kufanya nini ma mtumishi
Nimeeleza vizuri maana ya kuokoka kwenye uzi huu. Tafadhali soma kwa makini
 
Essay haina pointi ma mtumishi, naona tu maelezo meeengi ila haujatoa maana exactly ya kuokoka.....nipe maana kwa mstari mmoja tu kuokoka ni kufanya nini.
 
Maandiko yako mengi sana yanayotukataza kunywa pombe. Andiko mojawapo ni hili:
Mambo ya Walawi 10:9
"Usinywe divai wala kileo, wewe, wala wanao pamoja nawe, hapo mtakapokuwa mkiingia katika hema ya kukutania, msije mkafa; itakuwa ni amri ya milele katika vizazi vyenu;"

Hilo ni katazo la moja kwa moja la kutumia pombe.
Wewe kilaza soma hiyo sura kuanzia mstari wa kwanza ili ujue hayo maelekezo alikuwa anapewa Haruni na ndugu zake walioteuliwa maalum kwa kazi ya Mungu. Acha upotoshaji wa kipuuzi.
 
Walokole ni majipu. Mnafungua makanisa kila kona... ukienda Mbeya hadi Tunduma usiku hulali kwa sababu ya makelele yenu ya kipumbavu. Hata Mungu hapendi mnavyowapigia kelele viumbe wake usiku kucha. Pia kwa sasa walokole mna mchango mkubwa sana wa kuongeza umaskini na kuvunja ndoa za watu. Makanisani kwa sasa ni mwendo wa kuwakamua waumini wao hata kidogo walicho nacho. Makanisa yote yana sadaka na michango inayokera sana. Mbaya zaidi wanalazimisha tutoe 10% ya mapato yetu kulisha viongozi wa dini. Mke wangu akitaka kuwa mlokole nampa talaka bila kufikiria mara mbili.
Lol, mbona una jina lenye heshima kubwa sana lakini uliyoyaongea hayaendani na jina hilo? Nikipata muda ntakujibu kwa kirefu. Paragraph moja haitoshi kukupa majibu yatakayokuridhisha. Sawa, mkuu?
 
Maandiko yako mengi sana yanayotukataza kunywa pombe. Andiko mojawapo ni hili:
Mambo ya Walawi 10:9
"Usinywe divai wala kileo, wewe, wala wanao pamoja nawe, hapo mtakapokuwa mkiingia katika hema ya kukutania, msije mkafa; itakuwa ni amri ya milele katika vizazi vyenu;"

Hilo ni katazo la moja kwa moja la kutumia pombe.
Hii biblia gani mbona kwangu hamna hili katazo
 
Usiniweke kwenye kundi hilo. Wale watu Maandiko walikuwa hawayajui. Shetani alikuwa amezitia giza akili zao. Mimi passport ninayo, mkuu.
Una passport ila akili inaonekana ni ya kutafuta, nakutakia kila la kheri
 
Essay haina pointi ma mtumishi, naona tu maelezo meeengi ila haujatoa maana exactly ya kuokoka.....nipe maana kwa mstari mmoja tu kuokoka ni kufanya nini.
Duh, kama huo uzi hauna point basi hata sentensi moja haitakuwa na pointi.

Nakusikitia, unafanya mzaha na sauti ya Mungu inayokuita uokoke. Mungu ameweka rekodi tayari, umeelekezwa jinsi ya kuokoka, umekataa mwenyewe. Hutakuwa na wa kumlaumu siku ya mwisho.
 
Kuokoka ni kufanya nini???

Mi nikisikia mtu "mlokole" picha inayonijia kichwani....

Mtu anaeongea sanaaaa hana kituo

Mtu anaeona dhambi kwa wenzie tu, na yeye anajihesabia haki, mlokole akitenda dhambi utasikia "Mungu ananijaribu, Mungu ananipitisha kwenye majaribu, nimeanguka kiroho nitasimama tena"

Mtu aliejichokea na maisha, anaetaka kushinda kanisani tangu asubuhi anasifu kwa vinanda na magitaa siku nzima (sijui kazi wanafanya saa ngapi)

Hayo ni baadhi ya mambo yanayonijia kichwani ukisema "mlokole"
 
100% uko sahihi 😍😍 ni wapuuzi kuliko hata upuuzi wenyewe.
 
Kuokoka ni kufanya nini???

Mi nikisikia mtu "mlokole" picha inayonijia kichwani....

Mtu anaeongea sanaaaa hana kituo

Mtu anaeona dhambi kwa wenzie tu, na yeye anajihesabia haki, mlokole akitenda dhambi utasikia "Mungu ananijaribu, Mungu ananipitisha kwenye majaribu, nimeanguka kiroho nitasimama tena"

Mtu aliejichokea na maisha, anaetaka kushinda kanisani tangu asubuhi anasifu kwa vinanda na magitaa siku nzima (sijui kazi wanafanya saa ngapi)

Hayo ni baadhi ya mambo yanayonijia kichwani ukisema "mlokole"
Umeweza kuandika paragraphs zote hizo, halafu umeshindwa kweli kusoma uzi wangu ule unaofafanua maana ya kuokoka? Soma halafu uniulize sehemu ambayo hujaelewa ntakuelewesha. Hiyo picha uliyo nayo kuhusu walokole sio sahihi.
 
Sijasema kuwa sijasoma, nimesoma ila sijapata maana kwa lugha nyepesi sijaelewa
 
Lol, mbona una jina lenye heshima kubwa sana lakini uliyoyaongea hayaendani na jina hilo? Nikipata muda ntakujibu kwa kirefu. Paragraph moja haitoshi kukupa majibu yatakayokuridhisha. Sawa, mkuu?
Kama unaona nimeongea ujinga inabidi ukapimwe akili. Siko hapa kuridhishwa nawe ndugu.
 
Sitakuja kuingia kwny huu ujinga na wala sitaki mtu aje anishauri huu ujinga et kuokoka fucking juice
Pole sana. Hata mimi kabla sijaokoka, niliwaona waliookoka kama wajinga. Lakini baada ya kuokoka nilitambua kumbe nilikuwa nimedanganyika. Nina amani tele, nafurahia ndoa yangu, magonjwa ya zinaa hayanipati. Mungu amenibariki nina mahitaji yangu yote muhimu. Shetani na wachawi wakiniijia nawafukuza kwa kutaja tu jina la Yesu. Nimepona magonjwa mengi bila kununua dawa... kama huu ndio ujinga, heri ujinga huu uongezeke kwangu mara 100.
 
Duh, kama huo uzi hauna point basi hata sentensi moja haitakuwa na pointi.

Nakusikitia, unafanya mzaha na sauti ya Mungu inayokuita uokoke. Mungu ameweka rekodi tayari, umeelekezwa jinsi ya kuokoka, umekataa mwenyewe. Hutakuwa na wa kumlaumu siku ya mwisho.
Wewe kenge hakuna kuokoka ukiwa duniani. Hadi sasa hivi huwezi kusema kuwa uko kundi tofauti na mzabzab
 
Kama unaona nimeongea ujinga inabidi ukapimwe akili. Siko hapa kuridhishwa nawe ndugu.
Sijakuambia umeongea ujinga. Nimekuambia siwezi kukujibu kwa paragraph moja ukaelewa. Hoja zako ni nyingi.
 
Pole sana. Hata mimi kabla sijaokoka, niliwaona waliookoka kama wajinga. Lakini baada ya kuokoka nilitambua kumbe nilikuwa nimedanganyika. Nina amani tele, nafurahia ndoa yangu, magonjwa ya zinaa hayanipati. Mungu amenibariki nina mahitaji yangu yote muhimu. Shetani na wachawi wakiniijia nawafukuza kwa kutaja tu jina la Yesu. Nimepona magonjwa mengi bila kununua dawa... kama huu ndio ujinga, heri ujinga huu uongezeke kwangu mara 100.
Mtumishi umeolewa? Kaka angu anatafuta mchumba
 
1 wakorinto 1;19
Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi Bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu
Rekebisha mkuu ni 1 wakorintho 1:18 na sio 1 wakorintho 1:19
 
Back
Top Bottom