Kama walioacha uzinzi, umalaya, ufisadi, ujambazi, rushwa, uuaji, matusi, ulaghai, uonevu, baada ya kumwamini Yesu, wamepagawishwa; je, wanaofanya matendo hayo maovu tuwaiteje?Dini za mapokeo zinawapagawisha kiasi cha kuwashangaza hata hao waliowaletea dini zenyewe
Nipo kwenye biashara ya pombe kwa miaka 7 sasa.My dear Demi , nani aende kwenye mipombe na harufu zake, mimi?
Hahaa. I was set free from the bondage of alcohol a long time ago!
Hebu tupe mstari tafadhaliTrue
Hii avatar umeamua ujiweke mwenyewe ili umpate BICHWA KOMWE - ?Juzi nilimwomba nimuulize maswali yahusuyo bibilia alikubali lakini muda wa maswali ulipofika alitokomea mitini.
Setfree.
😂 Bichwa amenipa masharti magumu sana aise.Hii avatar umeamua ujiweke mwenyewe ili umpate BICHWA KOMWE - ?
Sasa mbona kelele zinaenda kwa majirani badala ya Mwenyezi MUNGU?Zaburi 98:4 (NENO)
Mpigieni Mwenyezi Mungu kelele za shangwe, dunia yote, ipaze sauti kwa nyimbo za shangwe na vinanda
Kama huna hela tulia usiwapangie maisha watu kila mtu atakufa kivyake,, masikini mnasumbuwa sanaNyimbo za matusi na uasherati zikichezwa kwa sauti mitaani, watu wanacheka tu. 😀 😀
Harusi zenye pombe na mabinti waliovaa nusu uchi zikifanyika kila wiki, watu wanasema "ndiyo maisha."
Filamu za mapepo na uchawi 'zikipamba' TV kila siku, watu wanasema "ziongezwe."
Mtu akijenga bar kila mtaa, wanasema "ana juhudi sana."
Ibada ya mkesha ikifanyika mara moja kwa mwezi, wanasema "walokole wamezidi kelele!"
Hao hao wakiona video za injili kila social media, wanasema "walokole mnatuchosha!"
Duh, kweli
"Mtu ambaye hana Roho hawezi kupokea mambo yanayotoka kwa Roho wa Mungu, kwa kuwa ni upuzi kwake, naye hawezi kuyaelewa kwa sababu hayo yanaeleweka tu kwa upambanuzi wa rohoni."(1 Wakorintho 2:14)
Kama hujaokoka, tulia, usiwapangie walokole cha kusema. Walokole wanafanya kazi kubwa ya kuwajulisha watu jinsi ya kuepuka kifo cha milele.Kama huna hela tulia usiwapangie maisha watu kila mtu atakufa kivyake,, masikini mnasumbuwa sana
Nakumbuka kuna Mkuu fulani alilalamikiwa na wananchi kwamba walokole katika Kanisa fulani wanawapigia kelele majirani. Mkuu huyo aliwajibu kwa hekima: "Wanaopiga kelele ni walevi kwenye baa. Walokole wakiwa kanisani, hawapigi kelele. Wanamuomba Mungu na kumsifu."Sasa mbona kelele zinaenda kwa majirani badala ya Mwenyezi MUNGU?
Hebu tupe mstari tafadhali
Sawa ila mm nkiokoka naihis ntakosa amani sasa saizi nipo huru sana, swala lakufurahia ndoa halina uhusiano wowote na ulokole acha umbea wako hapa, vip mbasha kilikumkuta nn kama kuokoka ndiyo furaha ya ndoa??Pole sana. Hata mimi kabla sijaokoka, niliwaona waliookoka kama wajinga. Lakini baada ya kuokoka nilitambua kumbe nilikuwa nimedanganyika. Nina amani tele, nafurahia ndoa yangu, magonjwa ya zinaa hayanipati. Mungu amenibariki nina mahitaji yangu yote muhimu. Shetani na wachawi wakiniijia nawafukuza kwa kutaja tu jina la Yesu. Nimepona magonjwa mengi bila kununua dawa... kama huu ndio ujinga, heri ujinga huu uongezeke kwangu mara 100.
Utafiti gani unataka wakati uthibitisho wa kwanza ni ww hapo hv unaona hata akili yako ipo sawa hv wewe asilimia kubwa kila kwny huu uzi wanakuona amnazo tena bila kificho acha unawashawishi watu ujinga wakitapeli.Weka hapa documents za utafiti ulioufanya unaothibitisha "usahihi" huo. Vinginevyo andiko hili linakuhusu:
"Hao hawaamini kwa sababu yule mungu wa ulimwengu huu[shetani] amezitia giza akili zao wasipate kuuona wazi mwanga wa Habari Njema ya utukufu wa Kristo, ambaye ni mfano kamili wa Mungu.”(2 Wakorintho 4:4).
Unajua maana ya kelele? Wakija wengine wanaoabudu mungu wanayemjua wao wakakuwekea spika hapo kwako hazitakuwa kelele?Nakumbuka kuna Mkuu fulani alilalamikiwa na wananchi kwamba walokole katika Kanisa fulani wanawapigia kelele majirani. Mkuu huyo aliwajibu kwa hekima: "Wanaopiga kelele ni walevi kwenye baa. Walokole wakiwa kanisani, hawapigi kelele. Wanamuomba Mungu na kumsifu."
Sauti za kumsifu Mungu sio kelele.
Sauti zenye lengo la kuudhi hizo ndio kelele. Wanaomwabudu na kumsifu Mungu hawana lengo hilo. Ila kama wewe humpendi Mungu sishangai nyimbo za sifa kwa Mungu ukiziita kelele. Kuna viwanja vya mpira vimejengwa karibu na makazi ya watu. Wakati wa mpira, mashabiki wanashangilia kwa sauti kubwa sana lakini huwezi kusikia watu wanasema hizo ni kelele.Unajua maana ya kelele? Wakija wengine wanaoabudu mungu wanayemjua wao wakakuwekea spika hapo kwako hazitakuwa kelele?
Atakaye abudu anachojua yeye kuwa ndiye mungu anakuwa na lengo la kuudhi? Ustaadh akija kuweka maspika hapo kwako kila ijumaa anaita majini kwa kiarabu zitakuwa si kelele sababu hana lengo la kuudhi?Sauti zenye lengo la kuudhi hizo ndio kelele. Wanaomwabudu na kumsifu Mungu hawana lengo hilo.
Imani yako si imani ya kila mtu, ukiwa na ustaarabu wa kiwango cha kujua hili kunamtambulisha pia MUNGU unayemuabudu kuwa ni wa wastaarabu. Nukuulize, kwanini makanisa hayaweki maspika karibu na mahospitali makubwa?Ila kama wewe humpendi Mungu sishangai nyimbo za sifa kwa Mungu ukiziita kelele.
Ni kelele. Kelele ni kelele hata zisiposemwa.Kuna viwanja vya mpira vimejengwa karibu na makazi ya watu. Wakati wa mpira, mashabiki wanashangilia kwa sauti kubwa sana lakini huwezi kusikia watu wanasema hizo ni kelele.