ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
asante sana best umenisaidia itabidi nionane nao hao watu umenisaidia sana mkuuDah naona wataalamu wameingia mitini...hiyo biashara inalipa sana...kwa kukushauri japo mie sifanyi hiyo biashara..kaonane na wazoefu wa hiyo biashara japo ni wachache watakaokupa siri ya mafanikio si unajua watz na kiroho cha wivu..badae onana na madaktari wa dispensary/health center/ Hospital zilizo karbu na location utakayofungua duka, waulizie magonjwa yanayosumbua sana hilo eneo na possible drugs, badae ukiweza onana na mphamasia wa wilaya atakupa mchongo wa dawa zinazoruhusiwa...kila lakheri na Mungu akutangulie
Lady njoo usome huku utajua kuwa nilikujibu taratibumm nataka kufungua duka la madawa ya binadamu nahitaji mnitumie list ya madawa na nini cha kufanya kwa huduma hii ya duka la dawa jimmyfoxxgongo
Angalia kwenye notification zako nime reply utaona kua nili quot ulipoomba ushauri angalia please heading ulizo subscribe za biashara ya maabara ya binadamuhakuwahi kunijibu mkuu labda ulimjibu mwingine naona utakuwa umechanganya labda niwe nimesahau mm niko serious sana na nina nia ya kufungua duka la dawa ninachokuomba nipe mwongozo na nipe list ya madawa mkuu pls kama utojali
haya ngoja niangalie asanteAngalia kwenye notification zako nime reply utaona kua nili quot ulipoomba ushauri angalia please heading ulizo subscribe za biashara ya maabara ya binadamu
asante best nashukuru sana itabidi nifanye hivyoUza dawa za kuongeza nguvu ya tendo uone usipokua milionea ndani ya muda mfupi.... (kidding)
Waliotangulia hapo juu wamekushauri vyema, jaribu pata ushauri kwa wafamasia na watabibu wanaweza kupa mwanga zaidi, ila cha kuongezea jaribu fungua biashara yako eneo lisilokua na ushindani mkubwa kwani hizi pharmacy nazo zimetapakaa kila kona
Upo maeneo gan? Na je duka lako limesajiliwa kama limesajiliwa nenda kwa mfamasia wa wilaya akupe list ya dawa. Pia nngejua location yako nngekushaur zaid. Mm nmesomea mambo ya pharmacy miaka 3
asante kwa ushauri wako mkuuFanya hivi,
Tengeneza frem/duka lako kisha Nenda phamacy council katafute kibali
Suala la mtaji wa dawa ulio nao unatosha toka kayapitie maduka k/koo ulinganishe bei
Usiwe mvivu unapotaka biashara