Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Wapendwa naomba msaada jinsi ya kuanzisha duka La dawa muhimu huku pembeni mwa mji wa Dar es Salaam wilaya ya ubungo. Kama kuna mtu humu ameweza kusajili duka la dawa tafadhali naomba mwongozo wapi naanzia mpaka napata cheti cha kuniruhusu kuuza dawa muhimu.
 
Najua hajapatikana mtu ambaye anajua mchakato mzima kati ya wote waliofungua Uzi huu. Lakini kuna post moja tu ambayo itakuja kunipa majibu mazuri.
 
Kwani we upo wapi? Kawaida lazima ufike ofisi wizara ya afya kanda au mfamasia wa mkoa,kuna maelezo atakupa pamoja na mahali sahihi pa kuweka hilo duka,utapewa fomu ujaze kisha utazipeleka katika serikali ya mtaa/kijiji husika unapotaka kuweka hilo duka kisha fomu hizo zitapelekwa katika kamati ndogo ya afya kata kisha TFDA Halmashauri kisha TFDA mkoa kisha Baraza la famasi(pharmacy council) baada ya hapo kitaandaliwa kibali.
Angalizo;kabla ya kutoa kibali lazima wewe mmiliki uwe na cheti cha umiliki, wafanye ukaguzi wa jengo kwanza na pengine kumuhoji mtoa dawa wako uliyemuandaa kufanya shughuli hiyo.fomu zinatolewa bure na maombi hayalipiwi chochote.kazi njema
 
Barkiwa sana.
 
Wapendwa naomba msaada jinsi ya kuanzisha duka La dawa muhimu huku pembeni mwa mji wa Dar es Salaam wilaya ya ubungo. Kama kuna mtu humu ameweza kusajili duka la dawa tafadhali naomba mwongozo wapi naanzia mpaka napata cheti cha kuniruhusu kuuza dawa muhimu.
Ipo hivi mkuu

Nenda ofisi ya mfamasia wa wilaya uliyopo.
Utapata maelekezo yote yakiwemo yafuatayo
1.utalazimika kwenda na mfamasia wa wilaya kwenye site yako kufanya Pre-inspection na atakupa maelekezo duka linavyotakiwa kuwa!. Hii inahusisha umbali kati ya duka na duka (la madawa). Duka liwe na sehemu mbili, ya kuuzia na kuhifadhia dawa. N.k

2. Utapewa fomu ya maombi ya kufungua duka la dawa. Utaijaza kwa mujibu wa maelekezo. Ukimaliza utaambatanisha nakala ya cheti cha muuzaji aliyepitia mafunzo maalum ya utoaji dawa (Acredited Drug Dispensing Outlet, ADDO) atakaekua anauza dukani kwako.

Mfamasia atakaa kikao cha CFDC ( Council Food and Drug Commettee) chini ya uenyekiti wa Mkurugenz wa halmashauri na katibu wake DMO ili kupitia maombi ya vibali ya maduka ya dawa yaliomba.
Mfamasia atapeleka maombi ya maduka yaliyopitishwa kwenda Baraza la famasi tanzania kwa ajili ya kupatiwa kibali chako.

Ukipata kibali chako utaenda kwenye ofisi ya afisa biashara wa wilaya husika ili upatiwe leseni, vile vile utaenda na TRA.
Baada ya hapo utamwomba mfamasia (w) akupe orodha ya madawa unayoruhusiwa kuuza kwenye DLDM tayari kuanza biashara.

NB; Mfamasia wa mkoa hausiki na mchakato huu.

I declare interest, mimi ni mfamasia wa wilaya mojawapo za mkoa wa Tanga.

Asante.
 
Kwani we upo wapi? Kawaida lazima ufike ofisi wizara ya afya kanda au mfamasia wa mkoa,kuna maelezo atakupa pamoja na mahali sahihi pa kuweka hilo duka,utapewa fomu ujaze kisha utazipeleka katika serikali ya mtaa/kijiji husika unapotaka kuweka hilo duka kisha fomu hizo zitapelekwa katika kamati ndogo ya afya kata kisha TFDA Halmashauri kisha TFDA mkoa kisha Baraza la famasi(pharmacy council) baada ya hapo kitaandaliwa kibali.
Angalizo;kabla ya kutoa kibali lazima wewe mmiliki uwe na cheti cha umiliki, wafanye ukaguzi wa jengo kwanza na pengine kumuhoji mtoa dawa wako uliyemuandaa kufanya shughuli hiyo.fomu zinatolewa bure na maombi hayalipiwi chochote.kazi njema

Kwani we upo wapi? Kawaida lazima ufike ofisi wizara ya afya kanda au mfamasia wa mkoa,kuna maelezo atakupa pamoja na mahali sahihi pa kuweka hilo duka,utapewa fomu ujaze kisha utazipeleka katika serikali ya mtaa/kijiji husika unapotaka kuweka hilo duka kisha fomu hizo zitapelekwa katika kamati ndogo ya afya kata kisha TFDA Halmashauri kisha TFDA mkoa kisha Baraza la famasi(pharmacy council) baada ya hapo kitaandaliwa kibali.
Angalizo;kabla ya kutoa kibali lazima wewe mmiliki uwe na cheti cha umiliki, wafanye ukaguzi wa jengo kwanza na pengine kumuhoji mtoa dawa wako uliyemuandaa kufanya shughuli hiyo.fomu zinatolewa bure na maombi hayalipiwi chochote.kazi njema
TFDA haiusiki na vibali vya maduka ya madawa. Sasa ivi madaraka yamekasimiwa kwa Baraza la famasi.

TFDA wanausika na ukaguzi wa maduka ya madawa pamoja utoaji wa vibali kwa maduka ya chakula , vipodozi.
 
Ipo hivi mkuu

Nenda ofisi ya mfamasia wa wilaya iliyopo.
Utapata maelekezo yote yakiwemo yafuatayo
1.utalazimika kwenda na mfamasia wa wilaya kwenye site yako kufanya Pre-inspection na atakupa maelekezo duka linavyotakiwa kuwa!. Hii inahusisha umbali kati ya duka na duka (la madawa). Duka liwe na sehemu mbili, ya kuuzia na kuhifadhia dawa. N.k

2. Utapewa fomu ya maombi ya kufungua duka la dawa. Utaijaza kwa mujibu wa maelekezo. Ukimaliza utaambatanisha nakala ya cheti cha muuzaji aliyepitia mafunzo maalum ya utoaji dawa (Acredited Drug Dispensing Outlet, ADDO) atakaekua anauza dukani kwako.

Mfamasia atakaa kikao cha CFDC ( Council Food and Drug Commettee) chini ya uenyekiti wa Mkurugenz wa halmashauri na katibu wake DMO ili kupitia maombi ya vibali ya maduka ya dawa yaliomba.
Mfamasia atapeleka maombi ya maduka yaliyopitishwa kwenda Baraza la famasi tanzania kwa ajili ya kupatiwa kibali chako.

Ukipata kibali chako utaenda kwenye ofisi ya afisa biashara wa wilaya husika ili upatiwe leseni, vile vile utaenda na TRA.
Baada ya hapo utamwomba mfamasia (w) akupe orodha ya madawa unayoruhusiwa kuuza kwenye DLDM tayari kuanza biashara.

NB; Mfamasia wa mkoa hausiki na mchakato huu.

I declare interest, mimi ni mfamasia wa wilaya mojawapo za mkoa wa Tanga.

Asante.
Kumbe mchakato mrefu ivo ndo mana kuna pharmacy uchwara kibao mtaani wakipita pharmacy council kwa ukaguzi lazima wafunge na kujificha...hapa mtaani kuna famasi uchwara 3 lazima wafunge
 
Ipo hivi mkuu

Nenda ofisi ya mfamasia wa wilaya iliyopo.
Utapata maelekezo yote yakiwemo yafuatayo
1.utalazimika kwenda na mfamasia wa wilaya kwenye site yako kufanya Pre-inspection na atakupa maelekezo duka linavyotakiwa kuwa!. Hii inahusisha umbali kati ya duka na duka (la madawa). Duka liwe na sehemu mbili, ya kuuzia na kuhifadhia dawa. N.k

2. Utapewa fomu ya maombi ya kufungua duka la dawa. Utaijaza kwa mujibu wa maelekezo. Ukimaliza utaambatanisha nakala ya cheti cha muuzaji aliyepitia mafunzo maalum ya utoaji dawa (Acredited Drug Dispensing Outlet, ADDO) atakaekua anauza dukani kwako.

Mfamasia atakaa kikao cha CFDC ( Council Food and Drug Commettee) chini ya uenyekiti wa Mkurugenz wa halmashauri na katibu wake DMO ili kupitia maombi ya vibali ya maduka ya dawa yaliomba.
Mfamasia atapeleka maombi ya maduka yaliyopitishwa kwenda Baraza la famasi tanzania kwa ajili ya kupatiwa kibali chako.

Ukipata kibali chako utaenda kwenye ofisi ya afisa biashara wa wilaya husika ili upatiwe leseni, vile vile utaenda na TRA.
Baada ya hapo utamwomba mfamasia (w) akupe orodha ya madawa unayoruhusiwa kuuza kwenye DLDM tayari kuanza biashara.

NB; Mfamasia wa mkoa hausiki na mchakato huu.

I declare interest, mimi ni mfamasia wa wilaya mojawapo za mkoa wa Tanga.

Asante.
Maelezo sahihi kabsa kwa kiwango tofauti na post zingine. Pia kwa kuongezea, hata yeye mmiliki wa hiloduka (DLDM) lazma awe amepita mafunzo y umiliki wa dula la dawa.

CHUMBA CHA DLDM
Kwamba, ukubwa wa duka (frame) ni lazma iwe na vipimo visivyopungua; upana (Width) 4m, urefu (Length) 4m. Pia store/sehemu ya kuhifadhi dawa iwe na kipimo kisichopungua Upana 2m na urefu 4m.

Na kwamba, ndani shelf, Milango, Meza, na Madrisha ya fresh hyo lazma ziwe ALUMINIUM. Roof iwe na CEILLING BOARD na floor iwe na TILES.

Sababu mbili kuu za frame kuwa na Aluminium na Tiles ni;-
(a) Material haya huleta ubaridi kwny chumba kama dawa zinavyo hitaji. (<30°C)
(b) Usafi, ni rahisi kwa material haya ku_maintain usafi km vumbi, tando, n.k
 
Ubarikiwe sana mkuu.
 
Upo sahihi kabisa mkuu
 
Upo sahihi kabisa mkuu
Nitakuwa naongezea kwny post zako Mhe. Mfamasia. Mhe. Niangalizie fursa ya kufungua MAABARA huko Tanga. (HEALTH LAB. CLASS " C") nitashukuru sana. Vifaa km
-Microscope (two eyepieces)
-Centrifuge (6 tubes)
-Haemoque machine
-BP machine
-Fridge
-Containers and Slides zipo tyr.
Ila nipo Mwanza. Pia mm sio medical personnel mm ni Lawyer (LL.B)

DRUGS LIST SOLD IN ADDO (DLDM)
 
Attachments

Wakuu heshima kwenu

Juzi kati kulikua na mkutano kati ya mamlaka ya chakula na dawa (TFDA) ,hasa upande wa dawa na "wadau" ambao kwa kiasi kikubwa ni wazalishaji wa ndani,waingizaji na wasambazaji wa dawa za binadamu na wanyama hapa nchini

Nikiwa sehemu ya uwakilishi wa wadau ,kuna kitu nilikinote ,nacho ni kuwa asilimia 99.9 ya wafanya biashara wa dawa za binadamu na wanyama ni watanzania wenye asili ya India

Wholesale pharmacies almost zote kubwa nchini zinamilikiwa na wahindi

Tukumbuke biashara hii ni miongoni mwa biashara zenye liquidity kubwa na hawa mabwana wanapata faida kubwa

Viwanda vya dawa tulivyonavyo hapa Bongo asilimia kubwa ni vya wageni (ukiondoa TPI cha Madabida na Keko nadhani)

Sisi weusi tunaishia kufungua vifamasi vidogo na kwenda kununua dawa kwa hawa mabwana

Swali langu; Tatizo nini wabongo hatufanyi hizi biashara in large scale?Tunatatuaje?

Karibuni

Note:Nadeclare wazi kuwa kila mtanzania ana haki sawa ya kufanya biashara yoyote pasipo kuvunja sheria .Na sina lengo la kuwabagua watanzania wenzetu wenye asili ya kigeni
 
Uzi mzuri ila mimi nipo nje ya field hiyo kwa hiyo sina mawazo mazuri sana japo kuna rafiki yangu anapenda sana hii biashara ila anakosa mtaji, mafunzo na vitendea kazi
 
Nitakuwa naongezea kwny post zako Mhe. Mfamasia. Mhe. Niangalizie fursa ya kufungua MAABARA huko Tanga. (HEALTH LAB. CLASS " C") nitashukuru sana. Vifaa km
-Microscope (two eyepieces)
-Centrifuge (6 tubes)
-Haemoque machine
-BP machine
-Fridge
-Containers and Slides zipo tyr.
Ila nipo Mwanza. Pia mm sio medical personnel mm ni Lawyer (LL.B)

DRUGS LIST SOLD IN ADDO (DLDM)

Unataka kufungua maabara katika wilaya gani ya Tanga nikuunganishe na mhusika?
 
Nitakuwa naongezea kwny post zako Mhe. Mfamasia. Mhe. Niangalizie fursa ya kufungua MAABARA huko Tanga. (HEALTH LAB. CLASS " C") nitashukuru sana. Vifaa km
-Microscope (two eyepieces)
-Centrifuge (6 tubes)
-Haemoque machine
-BP machine
-Fridge
-Containers and Slides zipo tyr.
Ila nipo Mwanza. Pia mm sio medical personnel mm ni Lawyer (LL.B)

DRUGS LIST SOLD IN ADDO (DLDM)
Current list hiyo apo
 
Attachments

Wakuu heshima kwenu

Juzi kati kulikua na mkutano kati ya mamlaka ya chakula na dawa (TFDA) ,hasa upande wa dawa na "wadau" ambao kwa kiasi kikubwa ni wazalishaji wa ndani,waingizaji na wasambazaji wa dawa za binadamu na wanyama hapa nchini

Nikiwa sehemu ya uwakilishi wa wadau ,kuna kitu nilikinote ,nacho ni kuwa asilimia 99.9 ya wafanya biashara wa dawa za binadamu na wanyama ni watanzania wenye asili ya India

Wholesale pharmacies almost zote kubwa nchini zinamilikiwa na wahindi

Tukumbuke biashara hii ni miongoni mwa biashara zenye liquidity kubwa na hawa mabwana wanapata faida kubwa

Viwanda vya dawa tulivyonavyo hapa Bongo asilimia kubwa ni vya wageni (ukiondoa TPI cha Madabida na Keko nadhani)

Sisi weusi tunaishia kufungua vifamasi vidogo na kwenda kununua dawa kwa hawa mabwana

Swali langu; Tatizo nini wabongo hatufanyi hizi biashara in large scale?Tunatatuaje?

Karibuni

Note:Nadeclare wazi kuwa kila mtanzania ana haki sawa ya kufanya biashara yoyote pasipo kuvunja sheria .Na sina lengo la kuwabagua watanzania wenzetu wenye asili ya kigeni

Moderators sio kila uzi ni wa kuunganisha nyingine zina maudhui tofauti someni muelewe

Uzi wangu unazungumzia pharma business at large scale kama manufacturing na importation nyie mnaunga na DLDM kweli?Ni vitu sawa sawa?

Mnaboa
 
Back
Top Bottom