sagaciR
JF-Expert Member
- Jun 17, 2017
- 644
- 878
We ndo unambie Tanga wapi pazuri pa kuweka hiyo biashara?? Kwa kuzingatia vipaombele vya biashara ya maabara kama we ni Mfamasia (yaan upo kitengo cha afya tena kwa DMO utakuwa na uzoefu na maeneo ya Tanga.Unataka kufungua maabara katika wilaya gani ya Tanga nikuunganishe na mhusika?
Vigezo mhimu vya kuzingatia kwny biashara hii huwa ni
- Mahali palipo na idadi kubwa ya makazi ya watu (watu wasiohamahama kwa msimu)
- Pawe na mzunguko wa pesa (sio watu kuja mjini/senta hadi jion saa 15-19
- Umeme wa grid ya Taifa (Kwa ajili ya vifaa vya kazi)
- Pawe kuna karibu na Hosp. ama Kituo cha Afya ya/cha Serikali. (serikali mara nyingi huwa hawana vifaa km reagents so watakuja kwangu mfn akina mama wajawazito kupima PROTEIN n.k (Urinalysis) sio Urine for sed.
N.k
NB: Mi cjawahi fika Ardhi yyte ndan ya mkoa wa Tanga.