Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Yamejazana sana mitaani faida yake imepungua sana
 
Yamejazana sana mitaani faida yake imepungua sana
mkuu tukiangalia vigezo kama vya kwako kwenye kufungua biashara tutakuwa hatuna usubutu na biashara yoyote,
asante kwa ushauri wako lakini..
 
Ndugu Silumbe naomba unitumie huo mwongozo nami nataka kuwekeza kwenye biashara hii
Email: kivikes@yahoo.com
 
 
Kwanza kabisa tafuta mtu mwenye cheti cha ADO (ulizia pharmacy body ADO ni nini) We mmiliki uwe na cheti cha mmiliki (uliza pharmacy body) Ukishamaliza hayo tafuta sehemu duka muhimu linaruhusiwa (pharmacy body) Tafuta fremu inayolingana na vigezo vya pharmacy body. Mtaji unajikuna mwenyewe sio chini ya m 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok mkuu nitafanya hivo mmiiliki lazima awe medical pesonnnel???? na kama ni medical personel ni wa kada ip sana ktk medicine humo humo?
 
Mmiliki ni Mtanzania yeyote zaidi ya miaka 18 awe na akili timamu. Cheti cha mmiliki muuluze mfamasia wa wilaya,. Sio lazima uwe na hiyo taaluma kwani utakua na muuzaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu wadau wa mtandao huu nawasalimu,
Awali ya yote poleni na majukumu, pili hongereni kuwa na kazi maana wengi hulaumu kwa kukosa ajira na kazi kwa ujumla,

Kifupi, nawaombeni maelekezo kuhusu maduka ya dawa mhimu,process za kufungu na gharama zake, Lakini pia ningependa kujua vitu gani vinaruhusiwa kuchanga humo kama biashara, Tatu ningependa kujua sifa na vigezo vya kulangua viwandani na viwanda hivyo ni vipi na vikobwapi,


Asanteni kwa mchango wenu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo lazima,maana kuna umiliki ambao unaweza ukamili ndege japo we hujui hata kuiendesha,


Ila nashukuru kwa ushauli,nataraji kwenda kuongeza elimu kuhusu taaruma hiyo japo kwa kiasi tayari ninayo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kachukue form ya kuomba kufungua duka la dawa(duka la dawa muhimu) au pharmacy kwa Mganga mkuu wa Wilaya.Mengine yanajieleza kwenye form.
 
Salaam waungwana,

Nmeona changamoto ya kupata matibabu wanayopata watu wa eneo fulani nje kidogo ya jiji (Dar es salaam) kwani zahanati ipo mbali kidogo nikafanya kautafiti na kuona kama nitatoa huduma ya kuuza dawa muhimu ktk eneo hilo nitawasaidia wananchi hao kutokana na adha ya kupata dawa hzo muhimu na mimi nitapata Rizki pia.

Mtaji upo kama M4 hivi nafkiri kwa kuwa ni nje ya mji mtaji huu nadhani utatosha kuanzia.

Hivyo naomba mwenye kujua UTARATIBU na VIGEZO vya kufungua Duka la Dawa anifahamishe naimani atakua amenisogeza hatua fulani mbele pia atawasaidia wengi wenye lengo kama hili.

Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…