Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Hi guys,Naomba mwenye uzoefu na biashara ya Duka la Madawa anielezee changamoto za hii biashara. Nina 4M na nimekuwa na ndoto za kufungua duka la madawa. Wadau ni maeneo gan naweza kuanzisha duka hii.Je pesa hyo itatosha au niendelee kukomaa kutafuta zaid?


Nashukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
Mil 4 Nyng sana mkuu! Kuhusu taaluma aslimia kubwa wenye maduka halsia hawana taaluma huska wanatumia taaluma ya mtu. Hapo cost n kuandaa Jengo tu la ilo Duka bt kuhusu dawa mpaka mia 3 au mia 8 unapata ktk duka la jumla hku mtaan tunanunua elf 5 na tunaona sawa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mil 4 Nyng sana mkuu! Kuhusu taaluma aslimia kubwa wenye maduka halsia hawana taaluma huska wanatumia taaluma ya mtu. Hapo cost n kuandaa Jengo tu la ilo Duka bt kuhusu dawa mpaka mia 3 au mia 8 unapata ktk duka la jumla hku mtaan tunanunua elf 5 na tunaona sawa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry mkuu, hapo hzo bei sijakuelewa unamanisha nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza kama we ni tabibu na unataka kuanzisha pharmacy kuna haja ya kuingia mkataba na mfamasia ambae atakua ana angalia duka lako.
 
Kuna ukiritimba mkubwa sana kama huna pesa ya kuhonga mfamasia wa wilaya usitegemee kupata leo.Ila kama ni famasi unatafuta cheti cha mfamasia unakilipia si chini ya sh.milion kila mwezi alafu unatafuta mtu yoyote anayejua majina ya dawa anakaa dukani kuuza dawa!

Uzuri hawa jamaa ukishaweka cheti cha mfamasia tu dukani hilo duka wataliheshimu sana!Ole wako uwe afisa tabibu alafu ufungue duka la dawa baridi halafu wakukute unauza antibiotic,utadhalilishwa kama hujaenda shule ingawa ukiwa hospitali yoyote wewe ndo unawaandikia dawa hizo wagonjwa!

Kifupi tu funguka mkwanja kwa mfamasia hata kama huna cheti huwa wanajua jinsi ya kufanya utapewa hata kopi ya mtu aliye dedi.
Ntaku pm
 
Habari zenu.

Kuna Fursa Nataka Niitumie Kwahiyo Naomba Kwa Yule anaejua anisaidie Hata:

• Tofauti Ya Kupatiwa Kibali na Kusajiliwa.

• Gharama za kulipia Pharmacy Council Kwa ajili Ya Kupatiwa Kibali.

• Gharama za Kulipa Kwa ajili ya Kusajiliwa.

• Je, hizi Gharama za Kulipia Kusajiliwa nazo pia unalipa Pharmacy Council?

• Gharama za kulipia Kuhuisha Kibali Kibali Kila Mwaka.

Kama nimechanganya maelezo Kuhusu Kupatiwa Kibali na Kusajiliwa naomba ufafanuzi Kwa Wanaojua.
 
King Ngwaba,

Duka la dawa muhimu ni tofauti na pharmacy na kwa kuanzia nenda kwa mfamasia wa wilaya unayotaka kufungua duka lako atakupa mwongozo wote.
 
Ukifungua kama hujamuona mfamasia wa wilaya itakula kwako kwani kuna mambo kama umbali wa duka na duka. Ado na mengine. Kila la heri, ukifanikiwa ni biashara nzuri kushinda hata hardware.
 
Maelezo sahihi kabsa kwa kiwango tofauti na post zingine. Pia kwa kuongezea, hata yeye mmiliki wa hiloduka (DLDM) lazma awe amepita mafunzo y umiliki wa dula la dawa.

CHUMBA CHA DLDM
Kwamba, ukubwa wa duka (frame) ni lazma iwe na vipimo visivyopungua; upana (Width) 4m, urefu (Length) 4m. Pia store/sehemu ya kuhifadhi dawa iwe na kipimo kisichopungua Upana 2m na urefu 4m.

Na kwamba, ndani shelf, Milango, Meza, na Madrisha ya fresh hyo lazma ziwe ALUMINIUM. Roof iwe na CEILLING BOARD na floor iwe na TILES.

Sababu mbili kuu za frame kuwa na Aluminium na Tiles ni;-
(a) Material haya huleta ubaridi kwny chumba kama dawa zinavyo hitaji. (<30°C)
(b) Usafi, ni rahisi kwa material haya ku_maintain usafi km vumbi, tando, n.k
Hivi makabati ya mbao siku hizi hawayataki?
 
Inatosha kabisaaa,kikubwa tu Ni kupata site nzuri na penye mazungumzo wa watu wengi na huduma Bora pia kwa watejaaa,lakini kwahyo hela utaanza kwa kukodi frame na itapendeza ukiwa wewe mwenyewe ndo muuzajiii, kwa maelezo zaidi niceji 0717636367 tusaidiane mawazooo
 
Ni nzuri sana. Pesa inatosha sana, ila tu upate flem iliyokamilika shelf za vioo,vinginevyo itapungua sana.napenye mzunguko watu angalau navibali vyote.

Hakuna hasara, ila tatizo, TFDA au wakaguzi wanaweza kuja wakakusanya dawa, ukaambiwa eti haziruhusiwi wakati we unajua zinaruhusiwa, huwa nishda kweli, vinginevyo huwezi kutamani kuajiriwa.
 
Mimi ni muhitimu wa course ya uuguzi, nimejiminya kitaa maana ajira ni ngumu hivyo nilipigana kufanya vitu mbalimbali na sasa nimepata million2 sasa nafikiria kuanzisha duka la dawa muhimu ! naombeni ushauri kwa mtaji huo naweza fanikisha ? changamoto zake kwa anaefahamu anaweza nisaidia!! mm nipo Dar kwa sasa hata kama kuna allocation nzuri karibu na Dar ambapo naweza anzisha pia mnaweza nisaidia coz bado cjapata sehemu!!
naomba msaada sana
hukwenda jeshini? wenzako wamekula mashavu huko JWTZ
 
Back
Top Bottom