Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Mil 4 Nyng sana mkuu! Kuhusu taaluma aslimia kubwa wenye maduka halsia hawana taaluma huska wanatumia taaluma ya mtu. Hapo cost n kuandaa Jengo tu la ilo Duka bt kuhusu dawa mpaka mia 3 au mia 8 unapata ktk duka la jumla hku mtaan tunanunua elf 5 na tunaona sawa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry mkuu, hapo hzo bei sijakuelewa unamanisha nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza kama we ni tabibu na unataka kuanzisha pharmacy kuna haja ya kuingia mkataba na mfamasia ambae atakua ana angalia duka lako.
 
Ntaku pm
 
Habari zenu.

Kuna Fursa Nataka Niitumie Kwahiyo Naomba Kwa Yule anaejua anisaidie Hata:

• Tofauti Ya Kupatiwa Kibali na Kusajiliwa.

• Gharama za kulipia Pharmacy Council Kwa ajili Ya Kupatiwa Kibali.

• Gharama za Kulipa Kwa ajili ya Kusajiliwa.

• Je, hizi Gharama za Kulipia Kusajiliwa nazo pia unalipa Pharmacy Council?

• Gharama za kulipia Kuhuisha Kibali Kibali Kila Mwaka.

Kama nimechanganya maelezo Kuhusu Kupatiwa Kibali na Kusajiliwa naomba ufafanuzi Kwa Wanaojua.
 
King Ngwaba,

Duka la dawa muhimu ni tofauti na pharmacy na kwa kuanzia nenda kwa mfamasia wa wilaya unayotaka kufungua duka lako atakupa mwongozo wote.
 
Ukifungua kama hujamuona mfamasia wa wilaya itakula kwako kwani kuna mambo kama umbali wa duka na duka. Ado na mengine. Kila la heri, ukifanikiwa ni biashara nzuri kushinda hata hardware.
 
Hivi makabati ya mbao siku hizi hawayataki?
 
Inatosha kabisaaa,kikubwa tu Ni kupata site nzuri na penye mazungumzo wa watu wengi na huduma Bora pia kwa watejaaa,lakini kwahyo hela utaanza kwa kukodi frame na itapendeza ukiwa wewe mwenyewe ndo muuzajiii, kwa maelezo zaidi niceji 0717636367 tusaidiane mawazooo
 
Ni nzuri sana. Pesa inatosha sana, ila tu upate flem iliyokamilika shelf za vioo,vinginevyo itapungua sana.napenye mzunguko watu angalau navibali vyote.

Hakuna hasara, ila tatizo, TFDA au wakaguzi wanaweza kuja wakakusanya dawa, ukaambiwa eti haziruhusiwi wakati we unajua zinaruhusiwa, huwa nishda kweli, vinginevyo huwezi kutamani kuajiriwa.
 
hukwenda jeshini? wenzako wamekula mashavu huko JWTZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…