Ziko taratibu ambazo ziko ndan ya uwezo wako na zingine ziko nje ya uwezo wako mfano kama kutafuta vibali ziko nje ya uwezo wako upende usipende lazima uende kwa wahusika walio tajwa hapo juu na wachangiaji wenzangu.
Zile ambazo ziko ndan ya uwezo wako ni pamoja na kuweka mfanyakazi wako. ushauri wangu kwa hili Jitahidi upate mtu aliyesomea fan hiyo. hii itakusaidia mtu huyo kutoa dawa sawa sawa kama ilivyo elekezwa na kwa mantik hiyo wateja watakuwa wengi sana, apa kwetu hasa mtaan wauza dawa wengi hawajui hiyo biashara. mfano.
Mimi kuna kipindi niliishi nchi yenye barid sana na jua siyo kali sana, baada ya kufika TZ apa dar mwili wangu ulianza kuwasha washa mpaka kuvimba kama vile nimeungua moto. Kwa haraka nilienda duka la dawa nikamuelezea mdada flan, akasema hiyo ni fangasi akanipa dawa ya kupaka hili kuzuia fangasi, baada ya siku mbili nikawashwa sana nikaenda hosp ndipo dor akaniona kabla hata sija elezea yeye akaniambia wewe una aleji ya jua usikae juani akaniandikia dawa kesho yake mpk leo niko poa kabisa. sasa katika khali hiyo mimi siwez tena kwenda kununua dawa yoyote kwenye duka hilo!!!
Na katika usajasilia mali ukipoteza mteja mmoja ni mbaya sana ni sawa na kupoteza wateja kum kwa mwezi