Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Hivi mwenye duka hili akiwa ni mtaalam Wa afya mfano clinical officer bado analazmika kuingia mkataba na mfamasia?
 
Hata kama mmiliki ni specialist the business must be under the supervision of pharmacist
 
Kufungua duka la madawa lazima uwe na mtaji kwa kiwango cha chini kiasi gani?
Lazima kwanza uwe na cheti cha ufamasia (yani uwe umesoma BPharm or DPS course chuo au unayeshirikiana naye awe amesomea hiko kitu)

Mtaji inategemea na size ya duka unalotaka kufungua by average andaa 4-5 million at least ukiondoa rent
 
Je ukitaka kufungua vijijini nakwenye itakugharim 4-5 millioni?
 
Ukisha karabati jengo kaunta na shelv... mzigo wa milioni 1 au1.5
Unatosha kuanza nao. Mm nilianza na 1.5M na naenda Poa, chamsingi ni location ya duka lako kwamba bidhaa zitoke faster....
Mdogomdogo weka bidhaa tofauttofaut japo chachechache kama miswaki, vipodozi pampas mafuta ya kupakaa na mambo mengine yanayoruhusiwa.

Kuhusu muuzaji usiogope Huwa kuna wale waliosoma kızı fupi za kutoa dawa ADO. Usipo mpata tafuta cheti kuombea kibali kisha kwenye kuuza inaruhusuwa kwa mtu yeyote mwenye taaluma yeyote ya Afya, kwakuwa bado wahitimu wa taaluma ya utoa dawa bado ni wachache kuliko maduka ya dawa nchini
 
Kwema wadau!

Nahitaji kupata copy ya orodha ya Dawa zilizoruhusiwa kuuzwa kwenye DUKA LA DAWA MUHIMU.
Tafadhari mwenye nayo naomba anipatie. Niwekee hata link kama ipo
 
Ukisha karabati jengo kaunta na shelv... mzigo wa milioni 1 au1.5
Unatosha kuanza nao. Mm nilianza na 1.5M na naenda Poa, chamsingi ni location ya duka lako kwamba bidhaa zitoke faster....
Mdogomdogo weka bidhaa tofauttofaut japo chachechache kama miswaki, vipodozi pampas mafuta ya kupakaa na mambo mengine yanayoruhusiwa.

Kuhusu muuzaji usiogope Huwa kuna wale waliosoma kızı fupi za kutoa dawa ADO. Usipo mpata tafuta cheti kuombea kibali kisha kwenye kuuza inaruhusuwa kwa mtu yeyote mwenye taaluma yeyote ya Afya, kwakuwa bado wahitimu wa taaluma ya utoa dawa bado ni wachache kuliko maduka ya dawa nchini
Mkuu uko Dar au mkoa gani
 
Nataman sana kufungua duka ilo na pia mazingira nilipo panaruhusu sana ila nakosa utaalam fani yng haiusian na mambo ya dawa but kama kuna mtu anaweza saidia utaalam itakua kher tujinasue na uchumi tegemezi
 
Back
Top Bottom