Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama mmiliki ni specialist the business must be under the supervision of pharmacistHivi mwenye duka hili akiwa ni mtaalam Wa afya mfano clinical officer bado analazmika kuingia mkataba na mfamasia?
Nichek 0688066603,usiku around saa 2,Nina hyo biasharaTupeane uzoefu wa hii biashara kwa wazoefu.
Na mimi huwa inanivutia
Lazima kwanza uwe na cheti cha ufamasia (yani uwe umesoma BPharm or DPS course chuo au unayeshirikiana naye awe amesomea hiko kitu)Kufungua duka la madawa lazima uwe na mtaji kwa kiwango cha chini kiasi gani?
Je ukitaka kufungua vijijini nakwenye itakugharim 4-5 millioni?Lazima kwanza uwe na cheti cha ufamasia (yani uwe umesoma BPharm or DPS course chuo au unayeshirikiana naye awe amesomea hiko kitu)
Mtaji inategemea na size ya duka unalotaka kufungua by average andaa 4-5 million at least ukiondoa rent
Ukisha karabati jengo kaunta na shelv... mzigo wa milioni 1 au1.5Je ukitaka kufungua vijijini nakwenye itakugharim 4-5 millioni?
kwel watu tunataka tuwe wajasilia mali tu kama ajira hazitoki inatubidiHiyo soft copy ya hii biashara, si ungeweka tu humu
Sawa mkuuNichek 0688066603,usiku around saa 2,Nina hyo biashara
Mkuu uko Dar au mkoa ganiUkisha karabati jengo kaunta na shelv... mzigo wa milioni 1 au1.5
Unatosha kuanza nao. Mm nilianza na 1.5M na naenda Poa, chamsingi ni location ya duka lako kwamba bidhaa zitoke faster....
Mdogomdogo weka bidhaa tofauttofaut japo chachechache kama miswaki, vipodozi pampas mafuta ya kupakaa na mambo mengine yanayoruhusiwa.
Kuhusu muuzaji usiogope Huwa kuna wale waliosoma kızı fupi za kutoa dawa ADO. Usipo mpata tafuta cheti kuombea kibali kisha kwenye kuuza inaruhusuwa kwa mtu yeyote mwenye taaluma yeyote ya Afya, kwakuwa bado wahitimu wa taaluma ya utoa dawa bado ni wachache kuliko maduka ya dawa nchini
Saiz sipo tanzania lkn biashara zangu naziendesha huko MtwaraMkuu uko Dar au mkoa gani
Niforwadie na mimi mkuu kelvinetoo43@gmail.comngoja nisubiri waje ...ila kama ukitaka soft copy ya hii mambo nitumie e-mail nikufowardie