proxy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,479
- 1,348
Please frowin2005@gmail.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0758046113 nicheki whatsappKama unataka msaada zaid, Weka namba yako, kwa watsap tunaweza wasiliana.
kunamtu yeyote au ndugu yako anahusika na mambo hayo?Nataman sana kufungua duka ilo na pia mazingira nilipo panaruhusu sana ila nakosa utaalam fani yng haiusian na mambo ya dawa but kama kuna mtu anaweza saidia utaalam itakua kher tujinasue na uchumi tegemezi
Nami nitumie hyo maniajee mkuu minjahonest@gmail.comngoja nisubiri waje ...ila kama ukitaka soft copy ya hii mambo nitumie e-mail nikufowardie
Bro namm tafadhali egladness191@gmail.comNifowardie na mimi Max.
revocatus@yahoo
.com
Na mm 07160698840719957092 WhatsApp me.
Mtafute Mfamasia wa Wilaya yako, ama Mganga Mkuu wa Wilaya. Ndio hao wahusika wakuu.Tafadhali nitafute 0762208190, whatsup, call au sms ili tufanye kazi, kuna shida ya hiyo kitu, tunaweza Fanya kazi TANGA HANDENI. I am serious in business
Naomba msaada wa hizo document mzee gabhodidas@yahoo.comtupo hapa kueleza na kutoa msaada kwa kile tunachokijua na mtu akitaka documents na ushauri mwingine mi napatikana na ni free hutalipa hata senti
Duka la dawa muhimu(dldm) au pharmacy?mm nataka kufungua duka la madawa ya binadamu nahitaji mnitumie list ya madawa na nini cha kufanya kwa huduma hii ya duka la dawa jimmyfoxxgongo
Naomba msaada wa hizo document mzee gabhodidas@yahoo.com
Sidhani kama upo makini mkuu maana unapokuwa na uelewa wa jambo hilo ina maana ulikuwa unafanyia kazi vifaa hivyo kwa majaribio sasa iweje leo uullize swali la aina hiyo hapa?ni mtaji kiasi gani?vifaa gani niwe navyo?ikiwa Mimi ninao utaalamu huo.
naomba kusaidiwa
Ubarikiwe sana kiongozi umetoa elimu buretupo hapa kueleza na kutoa msaada kwa kile tunachokijua na mtu akitaka documents na ushauri mwingine mi napatikana na ni free hutalipa hata senti
Dah naona wataalamu wameingia mitini...hiyo biashara inalipa sana...kwa kukushauri japo mie sifanyi hiyo biashara..kaonane na wazoefu wa hiyo biashara japo ni wachache watakaokupa siri ya mafanikio si unajua watz na kiroho cha wivu..badae onana na madaktari wa dispensary/health center/ Hospital zilizo karbu na location utakayofungua duka, waulizie magonjwa yanayosumbua sana hilo eneo na possible drugs, badae ukiweza onana na mphamasia wa wilaya atakupa mchongo wa dawa zinazoruhusiwa...kila lakheri na Mungu akutanguliehabarini wapendwa naomba mtu anisaidie kujua ni madawa gan ya binadamu yanatakiwa kuwekwa kwenye duka la dawa kwani nataka kuifanya biashara hiyo ila sina experience nayo nataka kumuweka mtaalaamu pindi nitakaponunua dawa hizo na kufungua duka hilo mwenye uelewa au anayefahamu anisaidie kwa kuni pm kunitumia list ya madawa
asanteni sana
Niliwahi kukujibu lakinikuna thread iliandikwa biashara ya maabara ya binadam nilikupa mwanga sijui kama uliusoma maana hata swali hukuuliza nikajua haupo serious ungekuwa serious ningekusaidia kufahamu kupitia mimi hapa ila sasa itabidi uje na maswali pm nitakupa mwongozo maana siwezi andika hapa sio vizuri ila kama ni ushauri tafuta hiyo thread ya biashara ya maabara utakuta nimefafanua kwa kirefu ok fanya kwa faida yakohabarini wapendwa naomba mtu anisaidie kujua ni madawa gan ya binadamu yanatakiwa kuwekwa kwenye duka la dawa kwani nataka kuifanya biashara hiyo ila sina experience nayo nataka kumuweka mtaalaamu pindi nitakaponunua dawa hizo na kufungua duka hilo mwenye uelewa au anayefahamu anisaidie kwa kuni pm kunitumia list ya madawa
asanteni sana
hakuwahi kunijibu mkuu labda ulimjibu mwingine naona utakuwa umechanganya labda niwe nimesahau mm niko serious sana na nina nia ya kufungua duka la dawa ninachokuomba nipe mwongozo na nipe list ya madawa mkuu pls kama utojaliNiliwahi kukujibu lakinikuna thread iliandikwa biashara ya maabara ya binadam nilikupa mwanga sijui kama uliusoma maana hata swali hukuuliza nikajua haupo serious ungekuwa serious ningekusaidia kufahamu kupitia mimi hapa ila sasa itabidi uje na maswali pm nitakupa mwongozo maana siwezi andika hapa sio vizuri ila kama ni ushauri tafuta hiyo thread ya biashara ya maabara utakuta nimefafanua kwa kirefu ok fanya kwa faida yako