Duka la mangi vs men salon

Duka la mangi vs men salon

Mkuu wewe nishauri then mimi ni mtu mzima nitachakata
Ushuri wangu ni huu: kama unataka kufungua biashara yoyote na ukajiona kuwa huna details za kutosha, basi subiri na ufanye research kwanza. Najua utadai kuwa hata hapa ndiyo unachokifanya lakini mimi nataka ufanye research yako kwenye ''site'' na siyo online.
 
Kufungua duka la mangi halafu kumuachia mtu alisimamie ni uono, usimamizi wake huwa unachangamoto, uaminifu ni hafifu siku hizi..

Bora salon, unampa malengo kwa siku akuletee kiasi gani utayoona ina unafuu kwako na hata mshahara unaweza kukubaliana kutomlipa tofauti na mangi shop ambayo mwisho wa siku dogo atataka umlipe ama lah akuibie kila siku na hutojua.
 
Likiwa duka atabaki wife, ila salon ni dogo wa mtaa
 
Kufungua duka la mangi halafu kumuachia mtu alisimamie ni uono, usimamizi wake huwa unachangamoto, uaminifu ni hafifu siku hizi..

Bora salon, unampa malengo kwa siku akuletee kiasi gani utayoona ina unafuu kwako na hata mshahara unaweza kukubaliana kutomlipa tofauti na mangi shop ambayo mwisho wa siku dogo atataka umlipe ama lah akuibie kila siku na hutojua.
Nilitaka kumshauri hivi! upo sahihi sana kwenye ufafanuzi huu.

Duka la mangi kama umeweka mtu alafu wew upo bize kufanya shughuli zingine jiandae kwa kupigwa tu... Hakuna mfanyakazi atakaye kulindia duka lako siku nzima alafu umlipe hela kidogo asikuibie(hata awe ndugu yako wa damu😁😁)

Salooni ni bora kwakua unatoa huduma na mtaji wako upo fixed kiasi kwamba hata dogo akizingua kuleta rejesho la wiki kwa kipindi kirefu mkataba unavunjwa kila mtu anashika hamsini zake.
 
Mangi shop utaishia kufukuza wafanyakazi kila leo, au utakua na kazi ya kujaza vitu dukani ila faida anaila mfanyakazi wako.
 
Kibaya zaidi duka la Mangi huwezi kupiga hesabu za kila siku hata uwe makini vipi kuna siku utajisahau, hivyo ni rahisi kuibiwa!
Vitu ni vingi sana huwezi kuvihesabu kila siku na hapo mfanyakazi anachukulia kama sehemu yake ya kujipigia kirahisi.
 
Sijajua uko wapi, ila salon ya kiume ukiwekeza kwenye vitu viwili vikubwa, lazima upate hela especially kama upo kwenye miji mikubwa.

UFUNDI: Lazima uwe na vinyozi wazuri na mafundi haswa kiasi kwamba kila mteja anaekuja anatoka amefurahi. Kumbuka wanaume wengi akipata kinyozi anampatia huwa hahami kwa urahisi.

HUDUMA: Hapa tafuta pisi kali kwa ajili ya kuosha wateja baada ya kunyoa, kufanya scrub, kusafisha miguu, kucha etc. Mnakubaliana kwa kila huduma mteja anayofanya, mnagawana kiasi kwa sababu materials unanunua wewe. Na hapa ndio pesa ipo kuliko hata kunyoa. Bei ya wastani ya kunyoa kwa sasa ni 5000 kwa kichwa ila mtu akifanya scrub na massage ya kichwa akaweka na black kichwani unazungumzia 25k hapo.

Biashara itakua nzuri zaidi ikiwa hao wadada watakua niaje. Ukiwatoa Singida au Manyara itapendeza zaidi na hela utaiona. Hakikisha umeweka parking ya kutosha na kachuma ka kufanyia massage weka bafu.​
 
Back
Top Bottom