God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Mimi kwa ushauri wangu
Duka la mangi is best
Angalia LOCATION kwanza.
Duka la mangi is best
Angalia LOCATION kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikujibu naomba unitag...🤣Fundi shaving ndo ufund gan mkuu
KinyonziAkikujibu naomba unitag...🤣
Fungua genge la mazaga au kibanda cha vyepeMkuu wewe nishauri then mimi ni mtu mzima nitachakata
Ushuri wangu ni huu: kama unataka kufungua biashara yoyote na ukajiona kuwa huna details za kutosha, basi subiri na ufanye research kwanza. Najua utadai kuwa hata hapa ndiyo unachokifanya lakini mimi nataka ufanye research yako kwenye ''site'' na siyo online.Mkuu wewe nishauri then mimi ni mtu mzima nitachakata
Ohhh....🤔Kinyonzi
Nilidhani kabugi labda paving asee, kumbe kuna kuna fundi shaving.. almost like saying fundi sucking or fundi fvckng yani fund wa ku fvck, ANYWAYAkikujibu naomba unitag...🤣
🙏🙏Kama wewe mwenyewe utakuwepo full time, fungua duka. Lakini kama utakuwa na mishe nyingine kwamba utaweka kijana, fungua salon!
Likiwa duka atabaki wife, ila salon ni dogo wa mtaaKufungua duka la mangi halafu kumuachia mtu alisimamie ni uono, usimamizi wake huwa unachangamoto, uaminifu ni hafifu siku hizi..
Bora salon, unampa malengo kwa siku akuletee kiasi gani utayoona ina unafuu kwako na hata mshahara unaweza kukubaliana kutomlipa tofauti na mangi shop ambayo mwisho wa siku dogo atataka umlipe ama lah akuibie kila siku na hutojua.
Kiasi ganiMtaji sio mkubwa boss
Kama na wife unae fungua duka muweke wife.Likiwa duka atabaki wife, ila salon ni dogo wa mtaa
Nilitaka kumshauri hivi! upo sahihi sana kwenye ufafanuzi huu.Kufungua duka la mangi halafu kumuachia mtu alisimamie ni uono, usimamizi wake huwa unachangamoto, uaminifu ni hafifu siku hizi..
Bora salon, unampa malengo kwa siku akuletee kiasi gani utayoona ina unafuu kwako na hata mshahara unaweza kukubaliana kutomlipa tofauti na mangi shop ambayo mwisho wa siku dogo atataka umlipe ama lah akuibie kila siku na hutojua.
Hapo angalia unachokipenda zaidi, lakini moja kwa moja wewe unapenda saloon kwakua umeshasema wew ni kinyozi(tumia tu uzoefu ulionao)....Likiwa duka atabaki wife, ila salon ni dogo wa mtaa
Mangi shop utaishia kufukuza wafanyakazi kila leo, au utakua na kazi ya kujaza vitu dukani ila faida anaila mfanyakazi wako.Nilitaka kumshauri hivi! upo sahihi sana kwenye ufafanuzi huu.
Duka la mangi kama umeweka mtu alafu wew upo bize kufanya shughuli zingine jiandae kwa kupigwa tu... Hakuna mfanyakazi atakaye kulindia duka lako siku nzima alafu umlipe hela kidogo asikuibie(hata awe ndugu yako wa damu😁😁)
Salooni ni bora kwakua unatoa huduma na mtaji wako upo fixed kiasi kwamba hata dogo akizingua kuleta rejesho la wiki kwa kipindi kirefu mkataba unavunjwa kila mtu anashika hamsini zake.
Wife atakaaMangi shop utaishia kufukuza wafanyakazi kila leo, au utakua na kazi ya kujaza vitu dukani ila faida anaila mfanyakazi wako.
Kibaya zaidi duka la Mangi huwezi kupiga hesabu za kila siku hata uwe makini vipi kuna siku utajisahau, hivyo ni rahisi kuibiwa!Mangi shop utaishia kufukuza wafanyakazi kila leo, au utakua na kazi ya kujaza vitu dukani ila faida anaila mfanyakazi wako.
Atadhibiti vipi kuibiwa?Mimi kwa ushauri wangu
Duka la mangi is best
Angalia LOCATION kwanza.