Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,115
- 2,231
Nawasalimu watu wote, baada ya salam nijielekeze kweny kichwa cha habari kama kinavojieleza, Lina uzwa duka la vipodoz lipo mitaa ya Segerea stendi duka lina makabati 2 ya ukutani kwa ajili ya kuwekea body spray, shelfu safii, feni 2, kabati la aluminium kuwa la urefu wa futi 6 safii pamoja na Vipodozi vyenyewe
Duka Linauzwa tsh million moja ya laki tisa na elfu hamsini yaani 1.95 au 195,0000 hiyo bei inaweza kupungua kidogo, pia kodi yake bado haijaisha ina miezi 3 mbele itaisha mwezi wa 6 mwaka huu .. kodi ya frem ya kila mwezi ni tsh 120,000 inaruhusiwa kulipa miwzi hata 6 au chini ya hapo ni makubaliano yako na mwenye nyumba, umeme ni elf10 kwq kila mwezi, mlinzi ni elf10 pia kila mwezi ukipenda usipotaka mlinZi hapana shida wala history ya wiZi toka nifike hapa ni mwaka wa 3 sasa na hajawahi kutokea wizi kweny duka hata la jirani. Hali ya duka lilivo ukilizimua kidogo tu unafanya biashara maana haliko vibaya sana
Duka lipo eneo zuri na kuna wateja kipindi cha nyuma nilikuwq nauza mpaka laki 3 kwa siku ila kwa sasa hamna asiejua kama uchumi wa watu umeshuka mauzo yamepungua kidogo ila duka likiwa limependeza unauza tu mchawi mtaji, mimi nimeshindwa kuliendesha kwa sababu za kiuchumi nimekumbana na mambo mengi yaliyopelekea kuyumba na bado nina mambo mengi hata nikichkua mkopo naona itakuwa shida naweza jikuta nagombana na watu wa taasisi za mikopo ndio maana nimeamua kuuza.
Hii bei nayouza ni sawa na bure maana ukifanya ukisema ufungue jipya ukarabati tu wa shelfu, feni, kabati la aluminium la futi 6 na kabati zingine 2 ukutani kwa ajili ya bodyspray unaweza kutumia gharama karibia na hii nayouza mimi duka zima na bidhaa zake pamoja na kodi ya miezi mi3, kama una ndugu ana hera hajui afanyue nn alikuwa anawaza nn afanye mahitue kabla halijachukuliwa hata kama hatakaa yy anaweza kuweka mdada au mkaka au dogo akamuuzia na akawa anapata kipato cha ziada kikapush maisha.
Kwa maelezo zaidi nitafute kwa 0756 695846 for call, whatsapp.