SOLD: Duka la vipodozi linauzwa milioni 1,950,000 tu, lipo Stendi Tabata Segerea

SOLD: Duka la vipodozi linauzwa milioni 1,950,000 tu, lipo Stendi Tabata Segerea

Status
Not open for further replies.
Duka bado lipo kwa anaehitaji kuja kuliona tuongee kwa mrefu zaidi karibuni sana
 
Nashukuru Duka hili tayari limesha pata mteja, limesha nunuliwa tayari naomba mods ikiwezekana wafute huu uzi maana kazi yake tayari ishaisha yaani uzi kama umesha expair matumizi yake vile.
 
Mods futeni huu uzi duka limenunuliwa Asanteni kwa uwepo wa jukwa hili pendwa kutukutanisha wauzaji na wateja.
 
Kama haufutwi basi wacha nitabmngaze na tangazo lingine hapa hapa


Chanel ya Youtube yangu mwenyewe inauzwa ina subscribers 6.67k yaani 6670 inakaribia kutimiza subscribers 7000 ina videos 187 inalipwa tayari ina matangazo kwenye kila video pia inatazamwa na watu wengi sana kuna video ina views elf66 yaani 66k views,
Tayari dora zinasoma kweny dashboard ila bado sjatimiza zile zinaziruhusiwa kwa ajili yankudrow yaani kutoa kuzitoa maana ndio kwanza nimetimiza vigezo na masharti yao ya kupata matatizo ya Google Adsence ili kilipwa ukiinunua ni mda mdogo tu Dora zinapanda na utazitoa bila presha yoyote inauzwa 550k maongezi yapo, bei inapungua


Hii ilikuwa kwa ajili ya matumizi yangu mwenyewe ila sikuifungua kwa ajili ya kuuza hapana ndio maana ina miaka zaidi ya miwili haina longolongo wala tatizo lolote nina uhitaji wa hera haraka ndio maana naiuza ila naumia maana sio kwa jinsi nilivopambana mpaka kuifikisha hapa , hii sio zile chanel wanafungua kwa ajili ya kuuza maana wengi wanauza huwa wamezitengeneza kwa ajili ya kuuza hivo wanatumia mda mdogo kupata Subscribers na views wengi kwa kutumia njia ambazo ni haramu zisizofa ambazo Youtube hawazikubali wanakataza kuzitumia njia hizo ambazo ni robot, application mbali mbali za kuboost subscribers na views nk

chanel ya aina hiyo utakapo omba kupewa matangazo ya Google Adsence wanaweza kukunyima kwa kuwa kabla ya kukukubalia huwa wanapitia vizuri chanel yako wakikuta kuna njia haramu ulitumia, na wakukutalia kupata matangazo huwezi kulipwa maana tunalipwa kwa sababu ya matangazo yanayopita kweny video unazopost nk ukiona chanel inauzwa na ukiangalia imefunguliwa haina hata mwaka au miezi 6 ujue hiyo mara nyingi ni magumashi usinunue mpaka ujilizishe baadhi ya vitu najua kwa maelezo haya kuna watu hawara nipenda ila wataona wanaharibia biasha zao ila msijali sio kila mtu anasoma tangazo hili [emoji3][emoji3][emoji848]

Kwa alie serious tu njoo 0756 695846
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom