Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo inaitwa saikolojiko price... 1,999,999[emoji23] [emoji23] Ila watu mna mambo kwa iyo ww umwona hilo tu haya buana ni milion 2
milioni 1,950,000 = 1,950,000,000,000Mkuu mbona unakuwa muongo ili iweje lakini au unataka kunivurugia wapi nmeandika hivo lakini sjapenda aisee
milioni 1,950,000 = 1,950,000,000,000
Jmn bado duka lipo karibuni sana
mkuu nistand upande upi?naweza kutoa m kwanza kisha nimalizie kiasi kitakachobaki
mkuu nistand upande upi?naweza kutoa m kwanza kisha nimalizie kiasi kitakachobaki
Kumbe hata nikinunua bado hiyo frame inakuwa sio yangu, kwa hiyo unatoa na vitu vyako au unabakisha kwa hiyo hela, labda mimi nataka nibadilishe matumizi ila nalihitaji hilo pango, bei gani.
Kwa kuwa nakuona kama unauza banda ambalo sio lako, ila unauza nafasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza na neno milioni halafu 1,950,000 so ni kweli umekosea kwenye heading,Mkuu mbona unakuwa muongo ili iweje lakini au unataka kunivurugia wapi nmeandika hivo lakini sjapenda aisee
Mkuu yaani unataka uuziwe na jengo la frem ya watu tena kwa 1.95M mimi bado ni mpangaji harali wa hiyo frem na kuna biashara au bidhaa zangu kwaiyo nauza bidhaa zilizomo na vitu vingine kama shelfu, feni, taa, kabat kama ambavo nimeeleza vizuri kweny uzi kuhusu frem miezi yangu ikiisha utalipa kodi ww kama ww kwa mweny nyumba wala sio kwangu, cjui umenielewa mkuu..
Au kodi ikiisha una hiari ya wewe kulipa tena nyingine au uhame uende sehemu nyingine ni wewe tu na uamzi wako au hata sasa ukipenda unaweza kuja tukaongea ukanunia bidhaa na kila kitu then ukapeleka sehemu nyingine yoyote sio lazima ukae hapa japo ni pazur na watu tayari wameliziea hili duka kwa iyo huji kuanza upya kusaka wateja wanakuja wenyewe automatically maana wanapafahamu kuwa pana duka, lakini pia wewe ukipanunua unaweza kuweka biashara nyingine yoyote utakayo ww kwa iyo maamzi ni yako.. Karibuni njooni bado lipo watu wengi wanatoa ahadi ya kuja weekend.
Nimekuelewa mkuu, ila kama unauza frame na vitu kama vinavyoo ekana pichani basi bei ni nafuu sana, hivi hiyo bei ya 1.95mln umeipataje, au umefanya stock taking ya vitu vyako vya dukani?
Sent using Jamii Forums mobile app