Mkuu mbona unakuwa muongo ili iweje lakini au unataka kunivurugia wapi nmeandika hivo lakini sjapenda aisee
Mleta tangazo kachemka, duka linauzwa million nyingi hivyo, alafu ni duka la urembo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu soma tena heading ya habari yako, umesema mwenyewe duka linauzwa million hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu yaani unataka uuziwe na jengo la frem ya watu tena kwa 1.95M mimi bado ni mpangaji harali wa hiyo frem na kuna biashara au bidhaa zangu kwaiyo nauza bidhaa zilizomo na vitu vingine kama shelfu, feni, taa, kabat kama ambavo nimeeleza vizuri kweny uzi kuhusu frem miezi yangu ikiisha utalipa kodi ww kama ww kwa mweny nyumba wala sio kwangu, cjui umenielewa mkuu..
Au kodi ikiisha una hiari ya wewe kulipa tena nyingine au uhame uende sehemu nyingine ni wewe tu na uamzi wako au hata sasa ukipenda unaweza kuja tukaongea ukanunia bidhaa na kila kitu then ukapeleka sehemu nyingine yoyote sio lazima ukae hapa japo ni pazur na watu tayari wameliziea hili duka kwa iyo huji kuanza upya kusaka wateja wanakuja wenyewe automatically maana wanapafahamu kuwa pana duka, lakini pia wewe ukipanunua unaweza kuweka biashara nyingine yoyote utakayo ww kwa iyo maamzi ni yako.. Karibuni njooni bado lipo watu wengi wanatoa ahadi ya kuja weekend.
Nimekuelewa mkuu, ila angalia sana mwandiko wakoMkuu kumbe wewe umeamua kuelewa vibaya na kuja kinyume na mimi mbona tulishalimaza hilo nmesha kubali kuwe nimekosea kweny trying ya headline na kama unavojua sisi member wa kawaida hatuna uwezo wa kuedit headline mpaka mods
Usemayo ni kweli mkuu hii bei ni nzuri sana maana unanunua bidhaa zote zilizomo dukani na shelfa zake, feni 2, taa,na kabati la aluminium la futi 6 pamoja na kodi ya frem ya miezi mitatu yote hayo kwa hera hata mlioni 2 kazifiki kwa iyo ni sawa na buree
Hata kama ingekuwa unanivua hii frem pekee yake haina vitu yaani nitoe kioa kitu changu nikuachie frem ndo ingekuwa sawa lakini mimi nakupa kila kitu mpaka taa, na radio ya Suwboofer. . Ndo maana nawasisitiza njooni jmn hili ni zari la mentari haijirudii ikipita imepita
Ila mwandiko wako unaleta mashaka sana. Cha ajabu eti na wewe unamiliki duka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuuza biashara ni jambo zuri,
Ila unatakiwa ufanye yafuatayo,Kwanza uchukue stock kamili ya bidhaa zote zilizoko dukani pamoja na bei yake ya kununulia na kuuzia,kisha uweke kumbukumbu sahhi za cashflow kwa angalau miezi sita yaani mapato,matumizi,Na kama kuna mikataba yoyte uwe na nakala zake.Vile vile unaweza kuwa na taarifa za sehemu unapochukua mzigo wako,gharama za vitu vingine vilivyopo kama makabati etc.
Unaweza kumuandalia mtu Balance Sheet ya biashara yako ambayo itampa picha kamili ya nini unachouza.Kwa kufanya hivyo utauza kwa bei nzuri zaidi na unaweza kujikuta ukijifunza zaidi kuhusu jinsi ya kuweka mambo ya kibiashara vizuri.Ukihitaji ushauri zaidi tafadhali tuwasiliane.
Bei sawa na bure!, labda mtu awe na wasi wasi wa bidhaa zenyewe kwamba zinaweza kuwa zinakaribia ku expire, sababu ni vipodozi, ukizingatia kuwa usawa huu wa JPM purchasing power ya watu imepungua, watu wananunua vitu muhimu tu vipodozi sio kipaumbele, unaweza shangaa dukani unauza vi vocha tu visivyo na faida, vipodozi vina faida nzuri lakini sio muhimu.
Changamoto kubwa sana usawa huu, vitu vinaharibika madukani, unaweza kuuza duka ukanunua pikipiki ufanye boda boda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jmn karibuni sana mi nipo msije kusema sipo.
[/QUOTE
Nakupigiq simu kwenye watsapp hupokei