mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Hili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake ,
Lengo lake la kununua kipande cha barabara ni kuzuia harakati zozote za watanzania wengine kujitafutia kipato,
Hizi ni open space kwa ajili ya parking, sasa yeye amezinunua kwa kulipia ili tu watanzania wasizitumie ingawa hata yeye hapaki gari yoyote hapo.
At least angenunua moja tungeelewa, lakini parking tatu na hapaki gari yoyote zaidi ya kuweka mavitambara yake hii si sahihi kabisa,
Tunaipenda Tanzania yetu so mwarabu anakuja kutunyanyasa hivi kweli ni haki?
Kweli muuza inchi ni mwanainchi
Weusi wenzetu watu wa parking wamemuuzia mwarabu Tanzania yetu