Ndio maana sometimes naelewa xenophobia ya WA South Africa .
Nchi haiwezi kustawisha raia wake kiuchumi kwa kuruhusu hadi uchuuzi kufanywa na wageni , hii ni kubinya fursa za kiuchumi kwa raia wako ,shughuli za uchuuzi zingeachwa kwa wazawa ili kuondoa barrier of entry hata vijana wanaojitafuta kufanya hizo shughuli na kuanza kupiga hatua kimaisha ,na si kuimport wachuuzi toka Asia kuja hapa na kuvuna wanachovuna na kutumikisha wabongo kama vijakazi