mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
- Thread starter
- #61
Kadanganya ananunua parking kwa ajili ya gari, halafu anaweka biasharaakamatwe kwa kosa gani kisheria?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kadanganya ananunua parking kwa ajili ya gari, halafu anaweka biasharaakamatwe kwa kosa gani kisheria?
Acha kuandika useng€ kodi kodi yenyewe wanalipa kodi gani hao kum@ ?Mji mkubwa ila mnaenda kuziba maduka ya watu , wanalipia fremu na Kodi na wafanyakaz hlf mbuz mmoja anaziba fremu yake
Udigo hauna faida, lazima uimbe na kuswali kiarabu, uvae mavazi kama wao na uache udigo wako huko udigoni.Mbona waarabu wengi tu wapo wasio waislam?
Hili halihusu dini hili
Mimi mwenyewe muislam ila najivunia udigo wangu mbona
Sio kweli, hiyo ni kauli mbiu ya wayahudi na wasio diniUdigo hauna faida, lazima uimbe na kuswali kiarabu, uvae mavazi kama wao na uache udigo wako huko udigoni.
Yaani sasa wewe ni mwàrabu.
Sasa mtu kama ww ambaye hujawahi kutembea popote zaidi ya ndani ya Tz ni halali yako kusema hivyo.Mbongo gani eh
Acha kuandika upuuzi wewe
Mbongo gani kajazana Asia anafanya uchuuzi mitaani wewe Kenge ?
Kwani hakuna sehemu nyingine?Hapana mimi ni afisa usafirishaji hapo kwenye kona
Hata sie tukitega hapo anatufukuza
Kudadeki yaani we acha tu
Usiniambie waAfrica nitajie wabongo wangapi wapo India ,China , Turkey ,Dubai nk wanafanya uchuuzi mitaani ,Leta hapa facts .Sasa mtu kama ww ambaye hujawahi kutembea popote zaidi ya ndani ya Tz ni halali yako kusema hivyo.
Ukienda kuanzia Uturuki, China, mashariki ya kati yote waafrica wamejaa wakifanya uchuuzi.
Kwani ww unadhani hata wakiwakataza ndo waafrica wataendelea ?
Vip Idi Amini alipo wanyanganya wahindi biashara zao na kuwapa waafrica vipi iliwasaidia nini?
Mugabe alipo wanyanganya wazungu ardhi na kuwapa waafrica vipi Zimbabwe iliendelea.
Alafu mtu kutokuwa mweusi haukuondolei uhalali wa kuwa mTz mzawa.
Hakika mkuu, hawa jamaa ni kwanza wabaguzi kupita kiasiUsiniambie waAfrica nitajie wabongo wangapi wapo India ,China , Turkey ,Dubai nk wanafanya uchuuzi mitaani ,Leta hapa facts .
Au wewe ndio unadhani umetembea kuliko wengine humu !
Acha ujinga wewe ,by the way idadi ya hao wachuuzi huko hailingani na gharama tunayolipa kama taifa la watu milioni 65 kwa kuruhusu hawa parasites kuexist humu kwa kazi za uchuuzi .
Kama unataka kuwa mchuuzi Asia nenda wewe
Ni mtu asiye na akili ndio atawaza kama unavyowaza wewe
Hapo hakuna jinai ni swala la jiji kusimamia sheria zao, kama zimekiukwa wanavunja mkatabaKadanganya ananunua parking kwa ajili ya gari, halafu anaweka biashara
Hili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake ,
Lengo lake la kununua kipande cha barabara ni kuzuia harakati zozote za watanzania wengine kujitafutia kipato,
Hizi ni open space kwa ajili ya parking, sasa yeye amezinunua kwa kulipia ili tu watanzania wasizitumie ingawa hata yeye hapaki gari yoyote hapo.
At least angenunua moja tungeelewa, lakini parking tatu na hapaki gari yoyote zaidi ya kuweka mavitambara yake hii si sahihi kabisa,
Tunaipenda Tanzania yetu so mwarabu anakuja kutunyanyasa hivi kweli ni haki?
Kweli muuza inchi ni mwanainchi
Weusi wenzetu watu wa parking wamemuuzia mwarabu Tanzania yetu
Sio habari ya display, yaani anaonekana vizuri tu kwake, ila haya maduka mengineyo yasiyo yake kwanini amenunua hizi parking ambazo si zake? Yaani hao jiji wamekula hela na ndio kumpa maeneo sio yake?Mkuu, kwani wewe unagari unataka kupark hapo? 😅😅😅
Anyways, acha pabaki wazi duka lionekane wateja wake wasipate tabu kufika, punguza makasiriko.
Naelewa uchungu wako, ila kama kalipia sasa ni haki yake kuiweka reserved kwa matumizi yake.Sio habari ya display, yaani anaonekana vizuri tu kwake, ila haya maduka mengineyo yasiyo yake kwanini amenunua hizi parking ambazo si zake? Yaani hao jiji wamekula hela na ndio kumpa maeneo sio yake?
Kama sehemu haina gari na si yake basi iwanufaishe wengine, sasa yeye hii haitumii na anazuia watu wasiitumie na si yake
HUU NI UKABURU
Hili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake ,
Lengo lake la kununua kipande cha barabara ni kuzuia harakati zozote za watanzania wengine kujitafutia kipato,
Hizi ni open space kwa ajili ya parking, sasa yeye amezinunua kwa kulipia ili tu watanzania wasizitumie ingawa hata yeye hapaki gari yoyote hapo.
At least angenunua moja tungeelewa, lakini parking tatu na hapaki gari yoyote zaidi ya kuweka mavitambara yake hii si sahihi kabisa,
Tunaipenda Tanzania yetu so mwarabu anakuja kutunyanyasa hivi kweli ni haki?
Kweli muuza inchi ni mwanainchi
Weusi wenzetu watu wa parking wamemuuzia mwarabu Tanzania yetu
Sawa ila ni UKABURUNaelewa uchungu wako, ila kama kalipia sasa ni haki yake kuiweka reserved kwa matumizi yake.
Eti mwekezajiMwekezaji wa Duka la vitambaa.
😂😂😂😂😂
Shainzee sana.
Hivi kule GWTZD Hakuna wazalendo wanaofikia 800 hivi wakawafurumisha hawa wauza nchi na wateja wao?
Mkuu punguza hasira umekula mchana? by the way wabongo ni waoga hata tukisafiri huko nje ya mipaka safari za mbali unajikuta uko peke yako, wabongo wanaenda dubai na china na uturuki kwa uchache, ila wenzetu majirani na wa afrika ya magharibi wanajilipua sana sisi waoga mno.Usiniambie waAfrica nitajie wabongo wangapi wapo India ,China , Turkey ,Dubai nk wanafanya uchuuzi mitaani ,Leta hapa facts .
Au wewe ndio unadhani umetembea kuliko wengine humu !
Acha ujinga wewe ,by the way idadi ya hao wachuuzi huko hailingani na gharama tunayolipa kama taifa la watu milioni 65 kwa kuruhusu hawa parasites kuexist humu kwa kazi za uchuuzi .
Kama unataka kuwa mchuuzi Asia nenda wewe
Ni mtu asiye na akili ndio atawaza kama unavyowaza wewe
Ni kweli na tatizo ni lughaMkuu punguza hasira umekula mchana? by the way wabongo ni waoga hata tukisafiri huko nje ya mipaka safari za mbali unajikuta uko peke yako, wabongo wanaenda dubai na china na uturuki kwa uchache, ila wenzetu majirani na wa afrika ya magharibi wanajilipua sana sisi waoga mno.
Watanzania tunaridhika na kidogo na sio watu wa kurisk.Ni kweli na tatizo ni lugha
Yaani wakiwa inje hata kuongea kiswahili wanaogopa, sasa hiyo english mwanangu balaa