Mambo๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Sasa Binti wa zamani huyu unamharibia humu kusema ana mke ๐คฃ๐คฃ๐คฃkuna sehemu anarusha tu mitego yakemke?
Lini nimekupa invitation card ya harusi yangu
Kwamba ๐ ๐ ?
Aaaah huyo bibi nae miyeyusho ๐Sasa Binti wa zamani huyu unamharibia humu kusema na mke ๐คฃ๐คฃ๐คฃkuna sehemu anarusha tu mitego yake
Cc. Seran
Kwahio huna mke? Wewe single boy???Mambo๐
Au huna mistari mikali๐๐๐คฃAaaah huyo bibi nae miyeyusho ๐
Kwahio huna mke? Wewe single boy???
Nina uhakika huwezi kukosa "dukuduku" ๐Mimi msomaji ๐
NakosajeAu huna mistari mikali๐๐๐คฃ
Sio lazima invitation kuna ndoa za "come we stay""lini nimekupa invitation card jamn
Au nyota imefifia kidogoooNakosaje
Hapana sinaSio lazima invitation kuna ndoa za "come we stay""
๐
Punchline zipo kibaoAu nyota imefifia kidogooo
Sina wala ๐Nina uhakika huwezi kukosa "dukuduku" ๐
๐๐Hpn nilimuacha same day
Bora, hapo angekuoa ni kutafutiana dhambi tu, huwezi kuvumilia kubaki na upwiru maisha yako yote.Na alitaka kupeleka mahari kabisa,maana ni mtu nilijuana naye muda ila sex tukaja kufanya baadae sana.
Ila nikaona sitaweza kuvumilia kuachwa na upwiru
We mkali... mpe muda tuPunchline zipo kibao
Aaaanha, basi huyo anayemrushia mtego ajue huu ni utani tu, sitaki nimkoseshe tamu!Sasa Binti wa zamani huyu unamharibia humu kusema ana mke ๐คฃ๐คฃ๐คฃkuna sehemu anarusha tu mitego yake
Cc. Seran
Daah, ngoja bibi nikulaani sasa na huyo binti usimpate!Aaaah huyo bibi nae miyeyusho ๐