Dula Makabila aja na muonekano mpya wa kike

Dula Makabila aja na muonekano mpya wa kike


Adam pekee ndie mwanaume ambaye hakuwa na vinasaba vya kike

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo tuliofata baada ya Adam... Mkuu unataka kusemaje 😳😳😳
 
Dula Makabila msanii maarufu wa Tanzania wa miondoko ya Singeli ameamua kubadilisha muonekano wake asili wa kiume na kuja na muonekano mpya wa kike akiwa amevalia wigi la kike pamoja na glasss ya kike.

Dula anadai kuwa anafuata ushauri wa mpenzi wake aliye naye sasa na kila analomweleza basi yeye hufuata pasipo pingamizi.

Ikumbukwe kuwa Dula hajaanza leo hii michezo ya kupenda ukike alianza tangu atoe wimbo wake wa "Ningekuwa Demu" watu walidhani kuwa ulikuwa utundu wa kucheza na sanaa lakini kumbe alikuwa na lake jambo ambayo sasa analidhihirisha wazi.
View attachment 2671731
View attachment 2671732
He he. Prince wa bongo
 
Back
Top Bottom