Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Usikute Ni KIKI tu jamaa anaseek attention anataka kutoa wimbo mpya.
Msiwe mnawaamini Sana Hawa wasaniii.
Msiwe mnawaamini Sana Hawa wasaniii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, pia amekiuka masharti ya You tubeKisa nini au Matusi yake
Aisee.. bas adeal na Insta and TiktokNdio, pia amekiuka masharti ya You tube
Kuna yule Mwanamke wake watu walikuw wanasema ana Hela hiv kumbe aliachana nae?Huyu nae ana ndoa karibia nne na uchee hajui kama ana kasoro🤨
Ndiyo mpangoTunza kibunda..
Ndio ila kasoro yake haioniKuna yule Mwanamke wake watu walikuw wanasema ana Hela hiv kumbe aliachana nae?
Nasikia jamaa mpigaji yaani kaugomvi kadogo anapiga kama ngoma nani atakubali kudumu nae🐒
Aisee.Sina Maneno meengi
Mkiambiwa huwa HAMSIKIII..
=====
Mtu yeyote atakaekuja kuniskia nasema nampenda mwanamke yeyote basi mtu uyo kama nipo naye karibu yani uso kwa uso basi naruhusu anipige ata kofi sababu nimegundua mwanamke sio mtu wakumuamini ata kidogo.
Haijalishi atakuaminisha kiasi gani nafikili muda niliobaki nao ni bora nikautumia kupambania maisha yangu na kuhakikisha nakuwa na hela zaidi ya hapa ila sidhani kama ni sahihi kuwekeza tena hisia zangu kwa mwanamke yeyote yule tena uwenda ikawa nilichelewa kuligundua hili ila sasa nimeelewa.
Sio kama nimeamua hivi kwa hasira hapana ila ni kwa sababu kwenye maisha yangu alibakia mwanamke mmoja tu wa kumuamini mwanamke ambae niliamini atakuwa kwaajiri yangu tu na sio mtu mwengine ata kama tutapitia situation yeyote ambayo itampush kufanya kitu tofauti niliamini hawezi kuniumiza na hatokuja kuweza ila kama yeye kaweza basi hakuna ambae atashindwa.
Maana yeye ndo alikuwa wa mwisho kumuamini katika maisha yangu 😭😭
Nimeumizwa nimeumizwa niseme nimeumia sana hii sio kiki wala trending za mitandaoni ni maisha halisi kiukweli napitia kipindi kigumu sana nakumbuka @hassanmwakinyojr Aliwahi kuniambia mapenzi kwake ameyapa 5% tena ata izo 5 bado anaziona nyingi.
Ila naamini sasa ata akinipigia simu tutakuwa tunaongea lugha moja moyo wangu nahisi unawa moto naumia sana sitaki tena mapenzi wala mahusiano sitaki sitaki sitaki sitaki tena 🙌🙌😭😭😭😭
Another Satisfied Customer 😌
View attachment 2753646
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NDOA NI LAANA