Dulla Makabila: Moyo wangu nahisi unawaka moto naumia sana sitaki tena mapenzi wala mahusiano sitaki

Huyu ni mwanaume!!?

Ehh.

Man Down...
My Condolences
 
Mapenzi yenyewe ni yale aliyokua akiambiwa vaa dela ana vaa, akiambiwa vaa wigi anavaa, na akiambiwa cheza kibao kata anacheza, halafu bado akaachwa?
 



#UkichapiwaKausha
 
Yeye ndiye mwenye matatizo haiwezekani uoe wanawake mara tatu halafu wote huseme wana matatizo. Ajitizame yy kwani kwa asilimia zote yeye ndiye mwenye matatizo.
 
Tatizo vijana hawasikii wakiambiwa.

Dunia ya Sasa haitaki watu wenye mioyo laini laini.. Dunia haitaki commitments.

Utaua au Utakufa
 
NDOA ZA BUKU TATU NAZO NI NDOA?
ALIZALISHWA NA MWINGINE NA WAKASHINDWANA HUKO, WEWE NI NANI WA KUWEZA?
WANASEMA NDEGE WANAO FANANA HURUKA PAMOJA,.
ALIYEKOMAA AKILI HAWEZIFANYA UTUMBO HUU.👇👇
SANA SANA WA KUOLEWA NDIO WANAFANYA HIVI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…