Dulla mbabe hamuwezi Twaha Kiduku, atake asitake

Dulla mbabe hamuwezi Twaha Kiduku, atake asitake

Wanaume wa daslam ukipigana nao kwa maneno huwawez kuwashinda hapo wanachukua had kombe la dunia ila mvute kati kwenye ulingo mpige jab 1, left-hook 1, Right-hook 1, overhand Right 1 alaf mmalizie na uppercut 1 anaanguka chali miguu juu haamki tena.

Zile kelele za sijui "niling'atwa na mbuzi" zinaishia hapo
 
Dulla Mbabe kelele nyiingi kumbe uwanjani sifuri.

Aibu sana yaani anapigwa ngumi tatu yeye anarudisha moja tena isiyo na macho mpaka mwisho anaamua kukimbia kimbia tu ili walau ashindwe kwa points. Lol.
 
Wanaume wa daslam ukipigana nao kwa maneno huwawez kuwashinda hapo wanachukua had kombe la dunia ila mvute kati kwenye ulingo mpige jab 1, left-hook 1, Right-hook 1, overhand Right 1 alaf mmalizie na uppercut 1 anaanguka chali miguu juu haamki tena.

Zile kelele za sijui "niling'atwa na mbuzi" zinaishia hapo
Sijui this time atasema kang'atwa na kitu gani mana amekula konde za kutosha.
 
Dula sio bondia yule.ni msela tu aliyejiingia kwenye boxing kutafuta maisha.Hana nidhamu wala weledi wowote wa boxing ndo maana anapigana rafu rafu na hana utulivu.Kwa jinsi alivyojengeka kimwili na jinsi anavyopigana unaona kabisa kuna vitu vingi anavikosa kwenye huo mchezo.
 
Ningependa kuona kiduku vs mwakinyo ila mwakinyo hataki itokee siku apigane na kiduku
Mwakinyo yupo kimataifa kurud kcheza chin inaweza kumchafulia status ikitokea amepigwa ndo maana anaona ni bora acheze kimataifa ili ikitokea amepigwa huko isiwe issue kubwa sana, kiduku sahiv anatakiwa atafute mechi nyng za kimataifa ili aonyeshe ubora wake kupitia njia yake na badae mashabik ndo waamue Nan ni bora
Lakin kuanza kupigana wenyewe huku chin ni kuendelea kujishua na siyo kujikuza na kujitangaza
 
Wote ni vijana wetu,,tuzidi kuwaombea taifa liwe na watu kama hao 20 ,, asante mleta mada[emoji1319][emoji1319]
 
Mie natamani Twaha Kiduku aje apigane na yule Mjeda Selemani Kidunda au uzito haukaribiani?

Na siku ikitokea naamini hapatatosha mana wote wana makonde mazito.

Kidunda hatamaliza Raundi Saba atapigwa.

Kidunda ni mbishi lakini akipata mchezaji mzuri anayeshambulia wakati wote hatoboi
 
Dula sio bondia yule.ni msela tu aliyejiingia kwenye boxing kutafuta maisha.Hana nidhamu wala weledi wowote wa boxing ndo maana anapigana rafu rafu na hana utulivu.Kwa jinsi alivyojengeka kimwili na jinsi anavyopigana unaona kabisa kuna vitu vingi anavikosa kwenye huo mchezo.

Mwili wake nilitegemea angeutumia Kumsapoti lakini ameruhusu raundi zote mashambulizi.

Dulla anamambo ya Kiswahili mno
 
Back
Top Bottom