Dulla mbabe hamuwezi Twaha Kiduku, atake asitake

Dulla mbabe hamuwezi Twaha Kiduku, atake asitake

Sasa mbona Dula analalamika kashinda yeye ila kanyang'anywa ushindi. Au nyie mliaangalia pambano gani mnaosema Dula kapigwa?
 
Raund ya kwanza nkajua kiduku kapoteza asee, ila niyule kiwete nahis ndo mganga wa dulla kafanya mambo mpaka raund ya kwanza ikawa vile
Tatizo la dulla ana ule USELA MAVI!!mwingi, hayupo ki proffesional zaidi!!mfano kama angekuwa makini ile round ya kwanza angeweza kumaliza pambano, kisheria za boxing pale alipomuangusha kiduku, alitakiwa aludi kwenye kona yake kule, ili refa aanze kuhesabu hadi kumi, na kama angeshindwa kusimama, pambano lingemalizika pale pale, sasa yeye, aliendelea kuwa pale pale, kutafuta misifa, na refa hakuweza kuanza kuhesabu, huku kiduku, anazidi ku gain nguvu, na kweli baada ya muda akawa tayari yuko fiti kuendelea!!
 
Back
Top Bottom