Dulla Planet wa East Africa akabidhiwa gari kali

victor moshi

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
829
Reaction score
1,061
Wakuu pita pita zangu kule Instagram nimekutana na post ya Dulla wa planet bongo akishukuru uongozi wa East Afrca kwa kumkabidhi gari aina ya marcediz benz hii ni baada ya kukitumikia kituo hicho miaka 12.

Je, hii ni mbinu mpya East Africa redio wamekujanayo baada yakuuona watangazaji wao wana sepaa kila kukichaa?

Je, hii inafuta ile minong'ono kwamba kituo hicho kimekua hakilipi mishahara wafanyakazi wake kwa kumkabithi Dulla gari kali?


 
Ni jambo zuri kuwapa wafanyakazi motisha, sema ni kama wamechelewa kufanya hivyo EATv, ila ushindani katika tasnia ya habari umekua kwa kasi ndiyo maana motisha kama hizi zipo
 
Wamempa na cheo cha rais wa bongo flavor sijui anayejiita king wa bongo flavor hawamjui????πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…