Dulla Planet wa East Africa akabidhiwa gari kali

Dulla Planet wa East Africa akabidhiwa gari kali

Mimi nasubiri nione plate number tu ndo nijue mbivu na mbichi ni zipi
 
Zawadi ni zawadi kisheria hiyo ndinga ni ya kwake
hahaha kaawulize waalimu wa Atlas kila mwaka mwenye shule hutoa zawadi ya magari 10 kwa waalimu waliofaulisha lakini ukihamakabla ya miaka mitano anakunyanganya
 
Wamempa gari au wamempa Mercedes Benz?
Gari ndio hayo mnayoyanunua nyie mnasema spea zimejaa Kariakoo, consumption ni lita moja kwa 49 km
Benz za watu wengi zilizoko dsm hazina utofauti wa bei na gari za toyota kama harrier matako ya nyani sema tu kuwa na jina benz ndiyo shida ila bei mle mle BMW ndo kabisa nyingine zinalinga bei na arion
 
Sasa mbona mnayaogopa Mara spea Bei, Mara Kariakoo unaweza ukakosa, Mara yanakula Mafuta etc
Hayo sio magari, nyie kwenu mnayaona ni anasa
 
Sasa mbona mnayaogopa Mara spea Bei, Mara Kariakoo unaweza ukakosa, Mara yanakula Mafuta etc
Hayo sio magari, nyie kwenu mnayaona ni anasa
Ni mentality tu ya sisi watanzania na mafundi kajanja utasikia fundi anakwambia gari flani bovu kisa hajui jinsi ya kudeal nalo
 
AKIONDOKA ana hama nalo au analiacha
Mchaga asingekubali Hilo Benz ange-negotiate kwenye mshahara. Ila ndugu zetu waswahili wanapagawa na vitu vya ajabu ajabu kwenda kutambishia kwao Kisiju hukoo
 
Mchaga asingekubali Hilo Benz ange-negotiate kwenye mshahara. Ila ndugu zetu waswahili wanapagawa na vitu vya ajabu ajabu kwenda kutambishia kwao Kisiju hukoo

Ni wivu tu, tangu lini zawadi ukanegoshieti.!
 
Baada ya kuona insta kuwa dullah kapewa zawadi ya benz na eatv radio, nkasema kumbe kampuni za habari zinaingiza hela nyingi nyingi..

IPP ni old money Family , pesa wanayo enzi na enzi kutoa Mercedes ni kitu kidogo sana
 
Back
Top Bottom