Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Ugwadu ukupe nguvu za kuuvunja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugwadu ukupe nguvu za kuuvunja
Dulla hamna bondia mule daah kapigwa kweupe kabisaAjabu Katompa asiposhinda kwa KO au TKO utashangaa anashinda Dulla
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] round ya 4 tu pumzi ishakataHivi huyu dulla pazi nani alimpa jina la MBABE, mbona MNYONGE saana, na hajui ngumi. [emoji23]
Alitaka Majaji wapendeleeIbra claasic analia nini?
Majaji wako fair. Dula alizidiwaAlitaka Majaji wapendelee
Alafu anadai chama cha soka kinamwonea.Mtu kapigwa kila mtu ameona alafu anamdanganya nani..Wabongo hatupendagi kukiri kushindwa ili kujipanga upya.Dulla hamna bondia mule daah kapigwa kweupe kabisa
Chawa wa dula.si umesikia eti naye anasema dula kaonewa.huyo dogo naye kumbe hamnazo.Ibra claasic analia nini?
Hana cha kusingizia kapigwa na yeye akili ikimrudi akiwa mafichoni atasema nimepigwa ibra kauli zake naye kajishushia heshima leoAlafu anadai chama cha soka kinamwonea.Mtu kapigwa kila mtu ameona alafu anamdanganya nani..Wabongo hatupendagi kukiri kushindwa ili kujipanga upya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukisema ni chawa Dullah na Ibrah nani ana mafanikio na helaChawa wa dula.si umesikia eti naye anasema dula kaonewa.huyo dogo naye kumbe hamnazo.
Sent using Jamii Forums mobile app