Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 878
- 1,511
Huyu dulla amewezaje kupata jina kubwa kwenye ngumi ya Tz wakati uwezo wake ni mdogo sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu nae ni mpuuzi mwingine😂Ibra claasic analia nini?
Dullah mnyonge hamuwezi katompa, labda kama waende kupigana mtaani na mawe yanaruhusiwa.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] round ya 4 tu pumzi ishakata
Chawa wa dula.si umesikia eti naye anasema dula kaonewa.huyo dogo naye kumbe hamnazo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume unaliaje hivyo huku umekumbatiwa kama umefiwa?Huyu nae ni mpuuzi mwingine😂
Ni wapuuzi tu, wanapewa maiki hawaongei cha maana wala nini?Mwanaume unaliaje hivyo huku umekumbatiwa kama umefiwa?
Kuna lia ya kiume bana..
Badala ya kumuonea huruma nilicheka maana ilikuwa ni kichekesho badala yake.
Ndiyo maana alimkumbatia na Ibra ClassHuwa siangalii ngumi, lkn pambano LA Jana nimeangalia kuanzia mwanzo mpaka mwisho.. Nimeshangaa mnoo kusikia dulla akilalamika wakati tank lake LA mafuta lilikata kuanzia round 4 tu. Muda wote alibaki kukumbatia na kufanya pambano kukosa mvuto kabisaa! Kuna wakati nilitamani lile pambano LA Sara na Tatiana lingekuwa ndiyo pambano kuu kuliko LA kina dulla.. Ukweli dulla siyo bondia kabisaa hata kupigana tu hajui anachojua ni kukumbatia tu