Dullah Planet aliyeacha kazi EATV sasa rasmi ahamia CROWN FM ya Ali Kiba

Unafungua biashara mpya sokoni unaleta watendaji ambao na wao ni wapya sokoni. Yaani wewe unajifunza, watendaji wanajifunza kupitia wewe. Ukifanya hivi unaweza feli kiwepesi mno sokoni.

Hayo maneno makubwa sana kibiashara, vichwa panzi hawatokuelewa.
 
Reactions: Tsh
Umeandika mambo mengi hata yasiyohusika na ajira ya Dullah Planet pale Crown FM. Umejichanganya sana aisee sasa hapa mambo ya familia ya WCB yanaingia vipi tena?
 
Sasa Msoga atashindwa mlipa mshahara Kikeke!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…