Hahaha unamvuruga sana ukimtaja huyo jamaa,, maana bosi wao ni muathirika wa bwana Ali Msomali
hawa jamaa wana matusi sana, ila wamepatikanwa kwa kweli hata bando sijui kama wanatia kitaratibu siku hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha unamvuruga sana ukimtaja huyo jamaa,, maana bosi wao ni muathirika wa bwana Ali Msomali
Unafungua biashara mpya sokoni unaleta watendaji ambao na wao ni wapya sokoni. Yaani wewe unajifunza, watendaji wanajifunza kupitia wewe. Ukifanya hivi unaweza feli kiwepesi mno sokoni.
Mkuu, wapingaji hawakosekani.Hayo maneno makubwa sana kibiashara, vichwa panzi hawatokuelewa.
Umeandika mambo mengi hata yasiyohusika na ajira ya Dullah Planet pale Crown FM. Umejichanganya sana aisee sasa hapa mambo ya familia ya WCB yanaingia vipi tena?Huko hatokaa..take it from me..kaenda nyumba ya njaa..angejiunga na familia ya WCB. Ally Kiba ni mbahiri na mchoyo.
Na ndio maana ukitoa muziki hakuna project yake yoyote iliyosogea. Kwenye lebo yake ana vijana wa muda mrefu sana ambao tumeanza hata kuwasahau,
kuna yule K2GA na yule mwenzie..wapo kama hawapo. Kina zuchu wa wcb wamekuja wamehit, kina dvoice muda si mrefu watatambulika vizuri. Ila kina K 2ga hata hawasikiki. Wangekuwa WCB wangekuwa habari nyingine.
Dulla planet hatoboi kwa Kiba..Kiba ni wa kumuachia mambo yake yeye na familia yake akiwemo abdully, yule dogo na Zabibu. Kiba hawezi kufungamana na watu wasio familia yake. Mond anaishi na kina babutalle, kina salem na kina said fellah. Hawa wala si ndugu zake ila wana bond ya nguvu na wote wananufaika na Diamond. Kiba hata akisimama unamuona yeye na abdul..zaidi utamuona mwijaku.
Sasa Msoga atashindwa mlipa mshahara Kikeke!?Siamini kama Salim Kikeke anaweza kuwa mediocre kiasi hicho.
Kuna rafiki ni daktari wa binadamu Uingereza basi akipata likizo ya kuja Bongo huwa anaomba kwenda kufanya volunteer kwenye hospitali ya serikali, yani likizo yake atumie huku anaokowa na maisha ya binadamu.
Sasa maybe Salim Kikeke labda anapitia humo kuchamba mdomo Tu na kushare experience, hakuna redio ya kumlipa mshahara Kikeke labda Azam Media peke yake ndio wenye jeuri hiyo.
Naamini Kikeke ameahidiwa kitu serikalini sasa hivi anabuy time tu, binafsi naamini hivyo.