Igauri Kwetu
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 321
- 71
Kila kitu diamond,kuna siku watasema wameachwa na mabasha zao kisa diamond.
Umeonaaaaeee
Nimekumbuka msemo wa mbwiga anasema usipokuja kwenye ngoma ya mwanangu, msiba wa baba yako sijiiii....hahaaaa chezea wazaramoo,
Hivi kwenye besdei alikuja au anataka twende msibani tuuuu...hahahaaaa (natania jamaniii)
Waombolezaji waliitwa majina nini...jana na leo...!
Hhhhhaaa jana na leooo
Sorry mkuu,Je walimuuliza kwanini hakuwepo? Kuna mtu alithibitisha kuwa alishindwa kuja kwasababu ya kula bata na Zari?
Mambo mengine wakuu,,,ss kutokutokea kwenye msiba kama alikua ana mambo yake binafsi?
Pia kikubwa sio kwenda unaenda kuzika ili watu wakuone kuwa umeenda hapo lengo la msiba hakuna.
Hao wasanii watakua WAMBEA tu ndio maana hawakutaka kutaka majina yao yaandikwe.(kweli umaarufu gunia la MISUMARI)
Watanzania sijui wana kichaa?
Teh Teh kuna mmoja alisema wengi ni wachawi!